M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
Vijana kama bado akili haijakomaa USIOE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vijana kama bado akili haijakomaa USIOE
Atoto una akili. Bado hujaolewa? Nikuoe.Unashindana nae ili iweje? Huyo mumeo kweli!!!!!
Hamuwezi kuishi kwa kukomoana hata kidogo, mmoja akitetereka basi chukua nafasi yako kumsaidia arudi kwenye mstari.
Vijana msifikir ndoa ni kucheza kwaito na kutuma picha instagram. Kwa wale waliooa kabila lililopo pembezoni mwa mlima mrefu Afrika na kule Kyela moto tunauona!
Vijana msifikir ndoa ni kucheza kwaito na kutuma picha instagram. Kwa wale waliooa kabila lililopo pembezoni mwa mlima mrefu Afrika na kule Kyela moto tunauona!
Hii comment umeirudia mkuu itakuwa yanayokukumba n mengiTuliooa Uchagani kazi si ya kitoto
PointHakuna ndoa isiyokuwa na matatizo, na bahati nzuri hayo matatizo ndo rutuba ya kuidumisha, ila hakuna sumu kubwa ya ndoa kama kusuluhishwa na watu mkiwa na mgogoro, matatizo ya ndoa hutatuliwa na wanandoa wenyewe, mkishamshirikisha hata mzazi tu juu ya ugomvi wenu mnapalilia kuivunja ndoa yenu. Hakuna mwalimu wa ndoa, hakunaga wala hatakuwepo.
Nako kumbe moto unawakaa!Hahahahaaaaaaa pembezoni mwa mlima meru ni balaa
Vijana msifikir ndoa ni kucheza kwaito na kutuma picha instagram. Kwa wale waliooa kabila lililopo pembezoni mwa mlima mrefu Afrika na kule Kyela moto tunauona!
Wanafanana tu wote wanawake
JPM amekiri anadekiSina la kuongeza maana nimeoa nauona moto wake,
Unaweza kuyayusha hata hicho Chuma cha uvumilivu.
Asante sanaDawa ni kumtafutia mwanamke mwingine, mbona jeuri itaishaa.
Yaani huko ni kujisahau kulikopitiliza kwa wanawake kwa kweli, ni kuzoea ndoa huko ila kila mmoja ana mapungufu na yapo yanayorekebishika
Ulimbukeni unakusumbuaTarime bila hiyo mambo hayaendi
hahaaa[emoji3][emoji3][emoji3],wewe sidhani kama utaoaNashangaa watu hususani watoto wa kiume wanavyopoteza muda wao kuhusu kuoa. Kuna mambo mengi kwenye maisha zaidi ya ndoa. Ndoa ni utumwa kifungo na mwanamke ndio mfungaji mwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukitaka amani katika familia ni lazima baba awe kichwa yaani mfalme.yaani mfumo dume. Haiwezekani basi bora umkabidhi madaraka tu. Vitabu vitakatifu havikukosea kumpa mamlaka baba. Wanawake mtusamehe lakini ndio ukweli hakuna balance sheet kati ya mume na mke kwisha!