Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

Unashindana nae ili iweje? Huyo mumeo kweli!!!!!
Hamuwezi kuishi kwa kukomoana hata kidogo, mmoja akitetereka basi chukua nafasi yako kumsaidia arudi kwenye mstari.
Atoto una akili. Bado hujaolewa? Nikuoe.
 
Hakuna ndoa isiyokuwa na matatizo, na bahati nzuri hayo matatizo ndo rutuba ya kuidumisha, ila hakuna sumu kubwa ya ndoa kama kusuluhishwa na watu mkiwa na mgogoro, matatizo ya ndoa hutatuliwa na wanandoa wenyewe, mkishamshirikisha hata mzazi tu juu ya ugomvi wenu mnapalilia kuivunja ndoa yenu. Hakuna mwalimu wa ndoa, hakunaga wala hatakuwepo.
Point
 
Ukitaka amani katika familia ni lazima baba awe kichwa yaani mfalme.yaani mfumo dume. Haiwezekani basi bora umkabidhi madaraka tu. Vitabu vitakatifu havikukosea kumpa mamlaka baba. Wanawake mtusamehe lakini ndio ukweli hakuna balance sheet kati ya mume na mke kwisha!

ONE OF THE BEST COMMENT EVER !!
 
Back
Top Bottom