mjanja wa kijiji
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 1,582
- 4,378
kama kweli wangekuwa watulivu hizo talaka zinazotoka usiku na mchana zinasababishwa na nini?Wataalamu wanadai wanawake wa dini flani (wenye sheria ya kuongeza mpaka wafike wanne) ni watulivu kwenye ndoa