Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

Aisee ww kiboko hata shetwani anakukataa
 
Kweli kabisa mkuu. Sitokuja kuoa kwasababu sioni faida ya ndoa kwenye maisha yangu..
1: Hongera kwa jina zuri. Linanikumbusha mbali.
2: Usipo is utateseka ukifikisha miaka 40. Oa MKE unaye mmudu.
3: Never trust a woman.umesahau " mark girllan?
 
1: Hongera kwa jina zuri. Linanikumbusha mbali.
2: Usipo is utateseka ukifikisha miaka 40. Oa MKE unaye mmudu.
3: Never trust a woman.umesahau " mark girllan?
Kwanini nikifika miaka 40 nitateseka?...
 
Ulivosema huwezi oa. Nili cheki umri wako kwanza nkajua bado kinda sana, hujajua umuhimu wa kuishi wawili ndani, hamna sehemu ambapo hamna matatizo uoe au usioe matatizo yapo tu
Mimi sina tatizo na ndoa mkuu. Naamini kuna watu wanatakiwa waoe ili wafanikiwe na kuna wengine wanatakiwa wasioe ili wafanikiwe. Mimi binafsi najiona mwenye furaha na mafanikio zaidi bila ndoa.
 
Mimi sina tatizo na ndoa mkuu. Naamini kuna watu wanatakiwa waoe ili wafanikiwe na kuna wengine wanatakiwa wasioe ili wafanikiwe. Mimi binafsi najiona mwenye furaha na mafanikio zaidi bila ndoa.
You are still young kijana, wait and see
 
Acha kabisa hawa viumbe wanaleta stress balaa,
 
Mkuu hata huyo mwingine nae anaweza kuwa na tabia hizo hizo so ukajikuta una double trouble!
Dawa ni kumtafutia mwanamke mwingine, mbona jeuri itaishaa.

Yaani huko ni kujisahau kulikopitiliza kwa wanawake kwa kweli, ni kuzoea ndoa huko ila kila mmoja ana mapungufu na yapo yanayorekebishika
 
Nimeelewa sana point yako
 
Sasa wa dizain hii ndo huwa wanadumu ndoani maana anajielewa na anajua nafasi yake katika familia.
Najaribu kukusoma, wewe ni miongoni wa wake wenye maneno kama cherehani[emoji3]
Jamaa atakuwa anapata shida, ila wanawake wengi wenye maneno mengi hawadumu kwa ndoa[emoji12]
.
Hata hivyo dawa kubwa ya ndoa ni mwanaume kuwa na wake wawili au zaid,
 
Baba mchungaji QUIGLEY kapotelea wapi jamani Patience!
Infact kunamuhusu...

kuna member humu wana chama cha wanaume walio oa Machame na Unyakyusani..

Wanataka wafahamiane ili mmojawao akirestishwa in peace members wenzake wakazikomboe mali zake kwenye mikono ya warestishaji..

Teh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…