Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

Sasa utaacha kujenga familia uhangaike na kumtafutia mke mwingine?????
Yote Ni sawa...mke mwingine au mchepuko ila Ni kupoteza kipato Cha familia tu....huo mchepuko unaweza ukawa umafyonza mrija mkuu wa income ya familia kuliko hata main house ...eg mke anakunywa coca....mchepuko savanna au saint Anne ...nyumbani maharage... Mke mdogo kuku,maini na mapochopocho ya Bei.

All in all wanawake wanna vichwa panzi Sana ....Kama Mimi najuta kwanini nilioa na utotoni hata wazazi wanajua nilisema nitazalisha wanawake tofauti tofauti then nikae na watoto wangu mwenyewe.

Nasema hivi, ndoa Ni jahanamu ingia for your own risk.
Aisee ww kiboko hata shetwani anakukataa
 
Kweli kabisa mkuu. Sitokuja kuoa kwasababu sioni faida ya ndoa kwenye maisha yangu..
1: Hongera kwa jina zuri. Linanikumbusha mbali.
2: Usipo is utateseka ukifikisha miaka 40. Oa MKE unaye mmudu.
3: Never trust a woman.umesahau " mark girllan?
 
Ulivosema huwezi oa. Nili cheki umri wako kwanza nkajua bado kinda sana, hujajua umuhimu wa kuishi wawili ndani, hamna sehemu ambapo hamna matatizo uoe au usioe matatizo yapo tu
Mimi sina tatizo na ndoa mkuu. Naamini kuna watu wanatakiwa waoe ili wafanikiwe na kuna wengine wanatakiwa wasioe ili wafanikiwe. Mimi binafsi najiona mwenye furaha na mafanikio zaidi bila ndoa.
 
Nianze kwa kusema mimi ni kijana wa miaka 35 sasa, nimeoa mwaka wa 6 huu, na nina watoto wawili, ila ujumbe wangu wa leo vijana mnapoamua kuoa muwe mmemaanisha hawa wake zetu unahitaji akili ya ziada kuishi nao wengi wana upeo wa chini sana na wasahaulifu kupitiliza.

Hivyo kijana usipokuwa muelewa unaweza kuwa unagombana nao kwa sababu ambazo unaweza kuziepuka.

NB: Binafsi katika miaka hiyo ya ndoa nimejifunza na kushuhudia mengi upo wakati nilitaka kuachana na mke wangu kwa kelele zake na kutofuata ninachotaka mimi. Ila baadae nikaamua kumpotezea nimeamua kuwa kimya kama mjinga flani hivi ila akili kumkichwa.
======

Unaweza kutazama mkasa huu ukisomwa ktk Kipind cha JamiiLeo

======

UPDATE: 22 Novemba 2016

Wake zetu tunawapenda sana ila mnaongea mno kupitiliza. Binafsi situmii kilevi, wala si mtu outgoing kivile isipokuwa mara chache nikiwa na pesa kidogo tunatafuta outing na familia ufukweni au nje ya mji Bagamoyo ama Lushoto au Arusha.

Lakini sasa huyu mke wangu yeye hataki nifanye kazi na mwanamke yeyote, duuh! Hili kwangu haliwezekani maana kwa kazi yangu nakutana na wengi (wanaume & wanawake).

Pia usafi chumbani ni ovyo ovyo si usafi wa kitanda wala nguo za ndani, nimezungumza mpaka nimechoka, kuna wakati fulani dada wa kazi eti alikuwa anafanya usafi chumbani kwetu, bila kuingilia kati huenda angepewa na cchuup afue.

Nimeamua kuwa mhanga nafua nguo za ndani ninazozikuta kwenye tenga (zikiwemo zake) na kufanya usafi chumbani.

**Ila akili kichwani asee hapa nimechamba nimeibuka na nyaa.

27 Januari, 2017
Miaka kadhaa ya NDOA, nina USHUHUDA

29 Januari, 2017
Kujidai kusali kutwa/kucha na kushinda makanisa ni KUTAFUTA MIUJIZA huku haumuheshimu mumeo ni kujidanganya tu.

Acha kabisa hawa viumbe wanaleta stress balaa,
 
Mkuu hata huyo mwingine nae anaweza kuwa na tabia hizo hizo so ukajikuta una double trouble!
Dawa ni kumtafutia mwanamke mwingine, mbona jeuri itaishaa.

Yaani huko ni kujisahau kulikopitiliza kwa wanawake kwa kweli, ni kuzoea ndoa huko ila kila mmoja ana mapungufu na yapo yanayorekebishika
 
Nimeelewa sana point yako
hebu mtupishe, kuna watu wanavumilia kwenye ndoa kama wanawake? tena sio kumvumilia mume tu, unamvumilia mume, wakwe, mawifi na mashemji, tatizo lenu wanaume mnapenda kuabudiwa na hizo zama za mama zetu na bibi zetu zilishapita na wao walikuwa na haki ya kuwanyeyekea sababu walikuwa wanakaa tu nyumbani kazi kuu ni kuzaa na kulea na kumuhudumia mume, sasahv nimwendo wa sawa kwa sawa, haiwezekani wote tunatoka asubuhi kila siku tunarudi wote jioni mwisho wa mwenzi wote tunaleta mezani mishahara, alafu utake kujifanya mfalme wa nyumba. Maisha ya sasa ni kusikilizana na kuelewana kiustaarabu tu nyumba itaenda ila ukileta ubabe kweli ndoa utaiona chungu
 
Sasa wa dizain hii ndo huwa wanadumu ndoani maana anajielewa na anajua nafasi yake katika familia.
Najaribu kukusoma, wewe ni miongoni wa wake wenye maneno kama cherehani[emoji3]
Jamaa atakuwa anapata shida, ila wanawake wengi wenye maneno mengi hawadumu kwa ndoa[emoji12]
.
Hata hivyo dawa kubwa ya ndoa ni mwanaume kuwa na wake wawili au zaid,
 
Baba mchungaji QUIGLEY kapotelea wapi jamani Patience!
Infact kunamuhusu...

kuna member humu wana chama cha wanaume walio oa Machame na Unyakyusani..

Wanataka wafahamiane ili mmojawao akirestishwa in peace members wenzake wakazikomboe mali zake kwenye mikono ya warestishaji..

Teh
 
Back
Top Bottom