Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

Nilikuwa na mahusiano na binti wa kinyakyusa, nikawa nimetoa mahari na katija hicho kipindi nikaishi naye miezi miwili tu.
Aisee cha mpto nilikiona na uchumba ukafa na mpaka leo hii nimeamua nitabaki single tu japo umri umekwenda.
Yank nyumba yangu niliiona chungu, nikitoka kazini sitaki hata kurudi home maneno mengi, uchafu usiseme yank tabu zilizidi
 
Hahahhahahaha ulipata mwanamke mchafu????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanyakyusa na Wamachame ni balaa. Nyumba utaiona chungu hakika
 
Kutoa hadharani huku mapungufu ya mke wako nao ni utovu Wa nidhamu ebu jitathimini vizuri kuna haja kubwa sn ya kupitia jando ww unadhani umekamilika kila sehemu?mbona mwenzako kakufichia mapungufu yako?ukubwa ni dawa bro
 
Hawa viumbe ni kwikwi. Ndoa hizi lazima ujifanye boya ili maisha yaendelee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…