Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

Hawa viumbe ni wazuri sana kuwaona machoni kabla haujaanza kuishi nae,ila ukishaanza kuishi nae ndio unaina rangi yake ingine namaanisha upande wao wa pili wa shiling.nimejarubu kubadilisha zaidi ya mara tatu lakini nimekubali yaishe.wote ni hivyo hivyo kelele na maudhi yasiyomithilika..tukae nao kwa makini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mke aliwahi kunitukana mm na ukoo wangu woye ndani ya sekunde 60 za maangamizi. Nilipata hasira ila tushukuru nilikuwa mpole sana na Leo hii ndoa inakaribia miaka 10.
FUNZO: vijana kuoa kunataka kifua
Huyo kwangu sekunde ya 23 tu ingemkuta kwenye ulimwengu uliojaa kiza na nyota nyota nyingi kupita maelezo...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tujiepushe kuchukua hatua kwa hasira dhidi ya Hawa viumbe. Tuwahurumie
 
Ukiona wakwe Wana furaha Sana siku ya harusi. Ujue umewatua zigo la misumari (Anonymous)
 
Uchagani mtihani. Kuna msela Mpare kaoa uchagani (Machame to be specific) kajenga nyumba basi kafuma sms kwenye simu ya mkewe wanapanga na mkwe
 
mzee bado upo kwenye ndoa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…