establishment
JF-Expert Member
- Jun 27, 2015
- 1,632
- 2,435
- Thread starter
- #1,361
Ndoa Ni zigo la kutaka digrii 7 kulibeba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha nliwahi kuwa na demu wa pande hizo, ilkuwa niowe. Dah. Mzee nilichimba, nashukuru sana MUNGU, maana ningejuta. Yani aliniokoa sana. Ndoa! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vijana msifikir ndoa ni kucheza kwaito na kutuma picha instagram. Kwa wale waliooa kabila lililopo pembezoni mwa mlima mrefu Afrika na kule Kyela moto tunauona!
Dawa ya mwanamke ni mwanamke mwenzake
Vp yule mganga aliyekukula kimasihara bado mnawasilianaKwani kakwambia nani wanawake wanataka kuishi na wanaume wasio jitambua?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ukikosa hela ndo utajua motoo wakeeeShida kama huna hela na ndani hakuna kitu ndiyo utaiona ndoa ya moto! Lakini kama una hela na kila kitu kipo ndani utawapenda tu.
Kwani wewe si alikupa offer ya kuoa mwanaye vipi umeshaoa tayari?Vp yule mganga aliyekukula kimasihara bado mnawasiliana
Hauko peke ako mkuu, hii kitu me naiogopa sana sanaMe ndo naogopaaa mnapoyaweka bayana haya .Mungu wangu nitaoa kwl mie?
Ubarikiwe sana mkuuMwanaume au mumeo si mtu sahihi wa kwenda nae ligi hata siku moja mtazamo wangu hata Kama kakufanyia ubaya we tafuta njia tu ya kutafuta amani ya moyo wako ila sio eti kafanya hivi na mimi nafanya vile utaumia ww.
Just take care of yourself maradufu tu oga hata Mara kumi fundisha watoto wako kuna ving vya kufanya Kama mwanamke zaidi ya kuleta ligi na mwanaume
Pengine Kuna Confounding variableskama kweli wangekuwa watulivu hizo talaka zinazotoka usiku na mchana zinasababishwa na nini?
Si unamfukuza kwani imelazimishwa kuishi nayeWanyakyusa na Wamachame ni balaa. Nyumba utaiona chungu hakika
Naunga mkono hoja, sababu iliyowavuta kufunga ndoa ndiyo itakayoamua aina ya ndoa yenuKuficha tabia ni ngumu sana..waliwabadilikia baada ya ndoa au walificha tabia kabla ya ndoa au kuna tabia zinaonekana baada ya ndoa?
Mm najua ndoa ni paradiso chochote kinyume na hapo kisiichoongeleka kikaisha basi ni mpango wa ibilisi si kila ndoa ni mpango wa Mungu
Kuna ndoa sababu ya uzinzi mimba iliingia wakaoana
Kuna ndoa sababu ya pesa mtu akaolewa
Kuna ndoa sababu ya mvuto wa nje mtu akaoa
Kuna ndoa sababu ya masters mdada akaolewa
Pia zpo za upendo wa Agape hizi wanaishi kama wachumba kwa miaka yote ya uhai wao na ndizo ndoa pekee hata uchumi ukiyumba au mmoja akateleza akafanya madudu hurejea kawaida baada ya mda mfupi na hudumu milele.