Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

Vijana msifikir ndoa ni kucheza kwaito na kutuma picha instagram. Kwa wale waliooa kabila lililopo pembezoni mwa mlima mrefu Afrika na kule Kyela moto tunauona!
Hahaha nliwahi kuwa na demu wa pande hizo, ilkuwa niowe. Dah. Mzee nilichimba, nashukuru sana MUNGU, maana ningejuta. Yani aliniokoa sana. Ndoa! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dawa ya mwanamke ni mwanamke mwenzake

Si kwa hawa wanawake wa dot.com watakupeleka kaburini kabla ya wakati wako.
Maana hawatakujali kwa lolote washindana kukuchuna tu yaani watakaa hapo kwa maslahi yao so usifikiri unakomoa mwanamke bali unajikomoa mwenyewe.
Usitumie maisha ya bibi zako ukayaleta kwa hiki kizazi utakufa kabla ya wakti wanawake wa kisasa hawana mioyo yenye nyama kabisa
 
Kumuacha Mwanamke halitakiwi kuonekana ni jambo kubwa ambalo unaweza kulifanya. Ni kawaida sana kachana na Mtu ambaye hamuendani
 
Ubarikiwe sana mkuu
 
Naunga mkono hoja, sababu iliyowavuta kufunga ndoa ndiyo itakayoamua aina ya ndoa yenu

Mkioana kwa sababu ya upendo mlionao baina yenu na nia yenu ni kuuenzi upendo huo kupitia ndoa basi maisha yenu yatakua ya raha sana


Shida iliyopo kwa sasa ni kuwa vijana wengi wanaoa/kuolewa wakiwa na sababu ambazo ni nje ya UPENDO.


sababu kama urembo, muda wa kuoa au kuolewa umefika, sababu ya mali n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…