Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Huo mchepuko hauolewagi? Hivi mwanamke awe mchepuko miaka 10 labda tahira hapo sema ni mke mdogo huyoNilichojifunza mwanaume hakikisha katika maisha yako yote fanya juu chini uwe na mchepuko wa maana.
Narudia Tena make sure unakuwa na mwanamke wa pembeni mzuri haswaaa. Wake zetu wengi Wana gubu. Ili usife mapema kwa stress na kutofurahia maisha kuwa na mtu wa pembeni wa kula nae maisha. Utaona dunia inanyoooka taratibu shwari kabisa.
Ila Sasa jifanye una Huyo Huyo mke mmoja siki akikuvuruga utakuwa na kichaa.
Mtakuja kunishukuru baadae kwa huu ushauri. Huu ni mwaka wa 10+ Nina michepuko na mambo yanaenda sawia home.
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app