Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

Huo mchepuko hauolewagi? Hivi mwanamke awe mchepuko miaka 10 labda tahira hapo sema ni mke mdogo huyo

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Acha kushupaza fuvu lako.

Akiolewa tafuta mchepuko mwingine kwani kazi iko wapi. Mbona unaonekana Hujakua kwenye hizi tasnia , endelea kupelekeshwa na wanawake.

Nyie ndio mnachoma wanawake kwenye magumia ya mikaa kwa wivu wa kipumbavu
 
Kumbe nawe tahira vile vile mdangaji mkubwa wewe, hivi fuvu huwa linaishi!

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Na ww vipi
 
Nanyi warombo mna mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…