Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Ngumu kumeza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kushindana na mwanamme mwanamke utaumia tu bora uwe mpole, umtafute mme mwingine nikugundue ni kichapo then kwenuu afu naoa huyo mwenzio kabisa na ww kuolewa na huyo ulomtafuta ukiwa kwenye ndoa sahau labda awe chiz coz wanamme wengi wanaotoka na wake za watu huwa ni uharibifu tu hawana mpango!Mimi ukinitafutia mwenzangu na mm natafuta mwenzio ngoja droo
Duh huyu mke kweli mmeo kapataMwanaume au mumeo si mtu sahihi wa kwenda nae ligi hata siku moja mtazamo wangu hata Kama kakufanyia ubaya we tafuta njia tu ya kutafuta amani ya moyo wako ila sio eti kafanya hivi na mimi nafanya vile utaumia ww.
Just take care of yourself maradufu tu oga hata Mara kumi fundisha watoto wako kuna ving vya kufanya Kama mwanamke zaidi ya kuleta ligi na mwanaume
Haaaa haaaa dah na mimi nimefunga na huyo wa pembeni mwa mlima mrefu.Tuna miaka 14 sasa na watoto 4.Tunaenda vizuri mikwaruzano huwa haikosi ila tulipata "Shule ya nguvu" ya ndoa pale Msimbazi centre/center Mleta mada upo sahihi bila kuvumiliana ndoa ni ngumu.Unaishi na mtu ambaye hamjazaliwa na kulelewa pamoja.....Vijana msifikir ndoa ni kucheza kwaito na kutuma picha instagram. Kwa wale waliooa kabila lililopo pembezoni mwa mlima mrefu Afrika na kule Kyela moto tunauona!
kwel bhana ukimpata anae kupenda hawezi fanya yote haya.makubwa mmeanza kuwasema huku...watawanyoosha hakika ....kuna waliooa wanafurahia hawakuwahi hata kujutia kuwaoa wake zao na kuna ambao wanajutia kuoa hahaha..halafu hapo vuta picha na mwanamke ulimwacha bila sababu na alikuonyesha upendo wa dhati halafu ukamwona kama bwege,,,hapo lazima umkumbuke,,,,,tehteh....uwiii
Wengine wakishalishwa maneno ya nje hata hawasikii Dawa ni kukaa kimyaSidhani kama umemuoa ili anapokukosea ukae kimya. Inatakiwa tujifunze kwa ndoa za wazazi wetu ambazo nyingi zimedumu kwa miaka mingi ikiwa wewe una miaka 06 kwenye ndoa unasema umeamua kumpotezea.
Huko ni kutaka kutengeneza sumu ambayo baadae ina madhara makubwa solution sio kukaa kimya ni kutafuta njia za kumbadilisha na awe unayemtaka kwani ukiangalia umeshazaa naye hata ukisema labda utatafuta mwingine bado athari ipo.
Hujachelewa miaka 06 sio mingi japo upeo wake ni wa chini na msahaulifu nina imani ukienda nae taratibu hata kama hatabadilika kwa 100% kwa kiasi fulani atajirekebisha.
Kushindana na mwanamme mwanamke utaumia tu bora uwe mpole, umtafute mme mwingine nikugundue ni kichapo then kwenuu afu naoa huyo mwenzio kabisa na ww kuolewa na huyo ulomtafuta ukiwa kwenye ndoa sahau labda awe chiz coz wanamme wengi wanaotoka na wake za watu huwa ni uharibifu tu hawana mpango!
Wanawake nawaonea huruma sana mnaposhindana kujibebesha majukumu ambayo Mungu alishaona hayawafai!
Mbn na kanisani pia kuna mabomu jrb toa mke chrch nd utaonaInategemea kama huyo mke wako mlikutana wapi! Kama umekutana nae bar, au fiesta hapo so ajabu kuzinguana
[emoji12]Wanafikir michepuko wanayo wao tu pole zao.
Waoaji wanaoenjoy kwenye ndoa mwisho ilikuwa karne ya 20 (1999). Kuanzia karne ya 21 (2000) hao wanachokipata anajua Mungu
Mawazo ya vijiweni hayo,kwanini usimwambie atafute ufumbuzi,wewe unashauri aachane,unadhani hatma ya watoto ni ipi?Kama ni head ache si uachana nae, kwani umelazimishwa, ukiona hauna peace of mind, unacahapa tu lapa, why ujitese mkuu kwa mtoto wa mwenzako?