Ryan The King
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 2,788
- 2,690
Ntampa pole wifiako Mkuu.wala sijapanic nimejibu maswali na kuuliza yale ambayo sijayaelewa, ila wewe unaonekana ndo wale wa mfumo dume, pole yake utakaekuwa mumewe au kama unae mke tayari nampa pooole maana kapatwa
Sikia ewe binti, historia yangu inawatambua wanawake Sana. Ndio walionilea, walinitunza na walionipa maarifa mengi baada ya Baba yang kunitelekeza nikiwa mchanga kabisa.
Nawaheshimu kuliko unavyoweza kusema. Nawapenda na sitokuja kuwaumiza.
Hata kwenye mahusiano yangu sijawahi kumuumiza mwanamke yeyote kwani huwa nahisi namtonesha Mama angu.
Ila linapokuja suala la mwanaume na haki na wajibu wake ambao unaingiliwa na Mwanamke kwakweli sitokaa kimya.
Najua nini mwanamke Kama wewe unataka, hivyo kuilinda furaha yako ni jambo dogo kwangu