Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

Ukute mdada wa kichaga na ana advanced diploma au bachelor degree ya kuunga unga kaSoma zake Topic za Gender kwenye DS. Ukajichanganya ukaoa. Utajuta.
Haaa haaa eti DS umenikumbusha kademu ( lecturer) ka IFM kalikuwa kanatundisha hilo somo

Yaani ni katata balaaa...
 
hebu mtupishe, kuna watu wanavumilia kwenye ndoa kama wanawake? tena sio kumvumilia mume tu, unamvumilia mume, wakwe, mawifi na mashemji, tatizo lenu wanaume mnapenda kuabudiwa na hizo zama za mama zetu na bibi zetu zilishapita na wao walikuwa na haki ya kuwanyeyekea sababu walikuwa wanakaa tu nyumbani kazi kuu ni kuzaa na kulea na kumuhudumia mume, sasahv nimwendo wa sawa kwa sawa, haiwezekani wote tunatoka asubuhi kila siku tunarudi wote jioni mwisho wa mwenzi wote tunaleta mezani mishahara, alafu utake kujifanya mfalme wa nyumba. Maisha ya sasa ni kusikilizana na kuelewana kiustaarabu tu nyumba itaenda ila ukileta ubabe kweli ndoa utaiona chungu
Hahaahaa!!
Mkuu umeongea kwa hisia kweli.

Labda nikufahamishe tuu, hata Mwanamke angekuwa ni Mungu bado hawezi kuwa sawa na Mwanaume.

Kinachotokea ni matokeo ya majaribio ya kimabadiliko tuu ya mienendo ya Tabia za aina binadamu. Ila soon tutarudi kule kule katika zama za Babu na Bibi zetu hivyo Usiongee usiyoyajua. Kwa maana hata wanaowapa uhuru wa kufanya hayo ni hao hao wanaume. Wao ndio huamua wawasomesheni mupate kazi ili muwasaidie katika uchumi.
Hivyo kuleta usawa kati ya mwanaume na mwanamke ni kwa waliopungukiwa na ufahamu wa kinachoendelea duniani.

Ikumbukwe pia sio sahihi kumnyanyasa au kumtesa mwanamke kwani wao waliumbwa kutufurahisha sisi
 
Sijakuelewa unaposema soon tunarudi kule kule kwa mababu na bibi zetu, unamaanisha soon wanawake wataacha kusoma na kufanya kazi na kubakia kuwa housewives tu? imepitishwa wapi hiyo na lini? na unaposema eti wanaume ndo wanaotupa uhuru wa kusoma na kufanya kazi unamaana gani? manake wanaotusomesha ni wazazi wetu, sasa unaposema tunaruhusiwa na wanaume sikuelewi. Hatukuumbwa kumfurahisha binadamu yoyote bali kupeana kampani manake adam alionekana mpweke
 
Don't punic my dear.

Huwezi elewa kwa ubongo wa Nyama.

Kwan unafikiri waliokuwa wanawaruhusu wasisome ni kina nani? Au unafikiri aliyewapa Uhuru kuongea ni nani na nani atawanyima Uhuru.

Sitetei unyanyasaji wa baadhi ya wanaume wajinga wanaoufanya kwenu.
 
wala sijapanic nimejibu maswali na kuuliza yale ambayo sijayaelewa, ila wewe unaonekana ndo wale wa mfumo dume, pole yake utakaekuwa mumewe au kama unae mke tayari nampa pooole maana kapatwa
 
Back
Top Bottom