Ndugu yangu, wa huku si tulikatazwa yangu tukiwa wadogo.Huku ndipo walipo wanawake ambo uptstairs kumechangamka na wenye kuona mbele na utatakiwa uwe flexible kupokea ushauri kutoka kwao kwa sababu huwa na malengo makubwa ya kufanikiwa. Mwanaume asiyependa kushauriwa ndiye atawaona threat tu. Mimi nimeoa pembezoni mwa mlima na ninaona tukipiga hatua kwa speed kubwa kimaendeleo. Kuwa transparent na kukaribisha mijadala ktk kupanga mambo na kuepuka kilevi na uzinzi kutawafikisha mbali kimaendeleo. Tatizo hawapendi maisha ya kona kona wala kudanganywa.
Kibubu kikijaa anakureatisha in peace ili umwachie uhuru wa kumiliki peke yake.
Kuwa mkweli mfano hai ipo sana ndugu.