Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

Mh! Kwa hiyo huwezi mimi naona bora mtu mmoja aniletee anahakikishea kuwa ni mke mwema inatosha mie nampokea tuu kama kifurushi tuu. Akizingua sikasiriki kwa kuwa nimeletewa. Lakini huyo wa kumbembeleza mimi naona akizingua naweza nikanyonga kabisa maana naona kama anacheza na emotional intelligence yangu hivi?
Haaa haaa sina wadogo zangu [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Kweli ndoa sio masebene akili za ziada zinatakiwa na uvumilivu wa hali ya juu..
Acha tu kuna wakati mwingine unawaza huyu mtu tumekutana ukubwani kitu gani kilinituma niishi naye basi unamwachia Mungu mambo yanasonga mbele
 
Mkuu establishment usikubali kubeba msalaba unaoungua shingoni utakufa siku si zako. Kama ni muongeaji sana mkate kauli ajifunze. Suala la usafi nenda naye taratibu atabadilika.
 
wewe bwana ndugu wanazaliwa tumbo moja ila kila mtu anakuwa na tabia zake sembuse watu mmekutana tuu kila mtu na makuzi yake. alafu bwana hawa wanawake wewe ukioa ukitegemea sijui kusaidiana na mambo kama hayo itakula kwako. wewe nenda na philosophy kuwa wanawake ni burudani tuu. wewe gegeda bassssssssssss
hahaaaaaa noma
 
Sina hakika kama kuna mwanamke asiyechepuka.
Wapo Mkuu, tena wengi tu.
Mke asiyechepuka ni yule anayekupenda sana, siyo wewe unampenda yeye kwanza..
Kwa hiyo ukitaka mke asiyechepuka, tafuta mwanamke anayekupenda sana, na siyo wewe umpende yeye.
Wanawake wasiochepuka wapo wengi kwa sababu, "wanawake wanaokupenda sana wako wengi".
 
Tena wanawake wasiochepuka wanapata waume wachepukaji balaa akilalamika sasa mme anavyokuja juu usinifuatilie, mke akichoka inakuwaje halafu mme mwenyewe unakuta msomi mzuri lakini ayafanyayo ni afadhali ya bata ukimwekea maji kwenye chombo badala ya kunywa anaingia mwenyewe kuoga[emoji239] [emoji239] [emoji239]
 
Mkuu establishment usikubali kubeba msalaba unaoungua shingoni utakufa siku si zako. Kama ni muongeaji sana mkate kauli ajifunze. Suala la usafi nenda naye taratibu atabadilika.
Kuongea si tatizo anaongea nini? Au hizo anachokilalamikia wewe huwezi kukifanya au kukitekeleza mie nazani mtu kama nimuongeaji angalia anaongea nini na nikwasababu gani? Ss utakuta mme huyui mke anataka nini au anahisia gani ubabe kwa kwenda mbele ukija chakula cha usiku wewe uko busy na huko nje mke alalamike aambiwe anaongea sana jamani waume msitese watoto wa wanaume wenzenu mtu katoka kwao kakufuata wewe kwanini umfanyie hivyo machozi ya wanawake watiifu yana laana kubwa
 
Tena wanawake wasiochepuka wanapata waume wachepukaji balaa akilalamika sasa mme anavyokuja juu usinifuatilie, mke akichoka inakuwaje halafu mme mwenyewe unakuta msomi mzuri lakini ayafanyayo ni afadhali ya bata ukimwekea maji kwenye chombo badala ya kunywa anaingia mwenyewe kuoga[emoji239] [emoji239] [emoji239]
Kwa maelezo yako Mkuu, point ya msingi inakuja palepale "mwanamke asiyechepuka ni yule anayekupenda sana", na tena, "mwanaume ndiye anayesababisha mwanamke achepuke".
Maisha ya ndoa ni kumsoma mwenzio, uvumilivu na kutumia akili.
 
Usioe kwaajil ya kutuliza nyege.. Kabla hujaoa jiulize kwann unatakiwa kuoa, then jiulize ni mwanamke gan naweza endana nae finally take into action..
 
Hamueleweki
 
Attachments

  • downloadfile-4.jpg
    downloadfile-4.jpg
    41.8 KB · Views: 66
Kaka ndoa ni kipaji kama ilivyo kwa mcheza mpira na mwanamziki na siwezi mtu mwenye akili timamu anaefanya mambo kimakusudi kisa nalinda najua mungu aliagiza tuwe kwenye ndoa lakini pia na yeye anaona mabadiliko ya dunia yanavyoenda nahisi kuna sheria zingine atasamahe wanawake siku hizi ni wababe asikuambie mtu kama unataka ufe maskini oa mwanamke wa miaka hii atafanya visa makusudi uongee akimbie ustawi wa jamii waje waangushe rungu la kugawana mali na pole sana kaka
 
Back
Top Bottom