Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Ndoa nyingi ni mtifuano wakati mwingine mke anakuwa ila mwanamme anaanza michepuko mpaka mke naye anachoka, tupo wake wazuri mbona wanatuharibu hao hao wame [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuchepuka mbona kawaida tu mkuu haishangazi siku hizi Wana ndoa Wana shindana kuchepuka