Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

Kuchepuka mbona kawaida tu mkuu haishangazi siku hizi Wana ndoa Wana shindana kuchepuka
Ndoa nyingi ni mtifuano wakati mwingine mke anakuwa ila mwanamme anaanza michepuko mpaka mke naye anachoka, tupo wake wazuri mbona wanatuharibu hao hao wame [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ndoa nyingi ni mtifuano wakati mwingine mke anakuwa ila mwanamme anaanza michepuko mpaka mke naye anachoka, tupo wake wazuri mbona wanatuharibu hao hao wame [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ni kweli wengi wanaingia ndoa ka fashion na hawataki kuacha mambo ya ubachelor unategemea nini? Ni bora usiingie ndoa ka hujajikana kuacha tabia za ajabu ajabu
 
mkuu kutania kuwa me ni rahisi kuliko me kutania kuwa ke
Hahaaaaa eti wanaume design ya delicious hujifanya ke humu. Humu JF Kuna watu wamekutana na mashoga wenye I'd za kike so unaposema utani ur wrong my dear. Ngoja dume lenye I'd lijipendekeze kwako ulete mazoezi uje ukutane naye mbona utajutra.
 
Ndo mana mke hakupi mume wa kwenda ambiance bora ndoa ife. Wewe ni tatizo kwa ndoa yako kufa. Mkeo ndo mana ka kupuuza licha ya kununua za malaya bado huna amani. Ungekuwa mume wangu ningekunyoosha wallah
Haaaaa haaaaa kwahiyo kamkia kake anakalokea kwa machangu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom