establishment
JF-Expert Member
- Jun 27, 2015
- 1,632
- 2,435
- Thread starter
- #1,281
Cc. Celebrities wa kibongo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo ndo fumboTuishi nao kwa akili
| Wachaga Wachaga Wachagga |
Kitu cha Kwanza kwa mwanamke ni usafi wa ndani na nje. Wakati mwingine huwa nawaona wanawake yaani akisha pata watoto watatu wawili watatu, mapenzi yote anayahamishia kwa watoto na anamuona mme kama si chochote.Jamani.....Mbona huu Uzi kila nikisoma naona Wanaume weeengi wanatoaa nyongoo zaoo zote.Hii inaonyesha Ni jinsi gani wengi Wenu Moto unavyowawakia ndani.Ila ushauri.Kabla ya kutoa Riboti kwenye jicho la mwenzako toa kwenye jicho lako kwanza.Na pia Mimi kama Mama nilichogunduaa..mwanzo wa chuki ndani ya ndoa Ni ile Wanaume kupunguza Mapenzi kwa mama,Yale ya mwanzo anayahamishia kwa mchepukoo.Hapo lazima moto uwake.Na kutokujali..Mwanamke ukitaka kumuweza mjari tu.Mfano.Mnunuliege Hata card ya Buku au maua au khanga ya Elfu 5.Fanya ivyo badilikeni.Kero yetu sisi wamama.Kwa wengi wetu.Gubu...kitu kidogooo unaongeaaaaa,Wanaume hawapendi..Kutojiongezaa..Vimradi vya kuongeza kipato mwanamke una kipato but unataka tu Mume ndo awe provider.Utafeli.Pia uchafuuu.Ndugu.Hakuna kero Wanaume hawapendi kama uchafu.Tujipende mwili ndani Na nje.Na pia tukumbukege Kunyoaaaaa!
Preciouss, umeandka vema, lakini naona kama vile tatizo unahjaribu klizunguka, na kwa kufanya hivyo huwezi kuwasaidia wenzako, ni lazima kujiuliza, ni kwa nini mwanaume anafikia hatua ya kuchepuka, jibu ni kwamba chanzo ni mwanamke, mwanamke ndie anaeweza kumfanya mume asichepuke, atulie, ajiheshimu, wanawake wengi ni pasua kichwa, wengi hwajitambui, hawajui nini cha kufanya, mwanaume anatoka kwenye shughuli zake amechoka, amechukizwa huko alikokuwa, anafika nyumbani kwake (kwa matarajio ya kwamba atapumzisha kichwa chake) badala yake anakutana na mdomo wenye shombo wa mwanamke, hii hupelekea wanaume wengi kuamua kupitia kwenye mabaa ili huko waweze kukutana na marafiki na kupata fresh drinks na kuondoa stress, majumbani kwao hakuna amani wala utulivu, sasa ni hapo mwanaume anajikuta amejitumbukiza kwenye kufanya uzinifu, na bahati yenu mbaya, michepuko huwa wajanja sana, anajitahidi kumjengea mazingira mwanaume mpaka anasahau kwake, kwa yale maujanja, nyie mlioolewa hamuwezi chochote, mnalipua mapishi, hata ikifika usiku mume kupewa haki yake ya ndoa mpaka mpigizane kelele, yaani ni shida tupu, mjirekebishe, Biblia imeandika, mwanamke mpumbavu huibomoa nyumba yake kwa midomo yake mwenyewe, unaweza kumletea hizo zawadi mke na bado akakuoana zoba, hata kusema asante tu hakuna, mwanaume akipekeleka zawadi kwa mchepuko anapokewa mpaka na busu, badirikeni mzinusuru ndoa zenu.Jamani.....Mbona huu Uzi kila nikisoma naona Wanaume weeengi wanatoaa nyongoo zaoo zote.Hii inaonyesha Ni jinsi gani wengi Wenu Moto unavyowawakia ndani.Ila ushauri.Kabla ya kutoa Riboti kwenye jicho la mwenzako toa kwenye jicho lako kwanza.Na pia Mimi kama Mama nilichogunduaa..mwanzo wa chuki ndani ya ndoa Ni ile Wanaume kupunguza Mapenzi kwa mama,Yale ya mwanzo anayahamishia kwa mchepukoo.Hapo lazima moto uwake.Na kutokujali..Mwanamke ukitaka kumuweza mjari tu.Mfano.Mnunuliege Hata card ya Buku au maua au khanga ya Elfu 5.Fanya ivyo badilikeni.Kero yetu sisi wamama.Kwa wengi wetu.Gubu...kitu kidogooo unaongeaaaaa,Wanaume hawapendi..Kutojiongezaa..Vimradi vya kuongeza kipato mwanamke una kipato but unataka tu Mume ndo awe provider.Utafeli.Pia uchafuuu.Ndugu.Hakuna kero Wanaume hawapendi kama uchafu.Tujipende mwili ndani Na nje.Na pia tukumbukege Kunyoaaaaa!
Toa HELA wewe mkeo apendezeKitu cha Kwanza kwa mwanamke ni usafi wa ndani na nje. Wakati mwingine huwa nawaona wanawake yaani akisha pata watoto watatu wawili watatu, mapenzi yote anayahamishia kwa watoto na anamuona mme kama si chochote.
Utashangaa mme unatoka kazi, hata kukupokea hataki ndo kwanza utakuta yupo nje kanyoosha miguu na maziwa yote yako nje, sasa hapo apetite ya kumpenda itatoka wapi?
Mkuu, hapa tatizo sio pesa ila ni kujisahau kwa mwanamke na matokeo yake huwa hayo.Toa HELA wewe mkeo apendeze
Narudia, toa helaMkuu, hapa tatizo sio pesa ila ni kujisahau kwa mwanamke na matokeo yake huwa hayo.
Tabia mbaya ni tabia mbaya tu mwanaye kama ni mzinifu nje hata umfanyie nini atatoka tu kuchepuka, hivi unazani wanawake hawavumilii shida za wanaume? Wanaume wengi hujifanya busy sana hawataki kuwasikiliza wake zao na kuona wanagubu badala ya kukaa chini kumsikiliza na kumpa nafasi, sasa hapo akichoka ndiyo hapo bora liende, swala la watoto ni lawazazi wote 2 usipokuwa karibu wewe unataka na mkeo awe mbali nao? Mbona miaka tulikuwa tumazaliwa mpaka watoto 10-12 na wazazi mpaka wanazikanaPreciouss, umeandka vema, lakini naona kama vile tatizo unahjaribu klizunguka, na kwa kufanya hivyo huwezi kuwasaidia wenzako, ni lazima kujiuliza, ni kwa nini mwanaume anafikia hatua ya kuchepuka, jibu ni kwamba chanzo ni mwanamke, mwanamke ndie anaeweza kumfanya mume asichepuke, atulie, ajiheshimu, wanawake wengi ni pasua kichwa, wengi hwajitambui, hawajui nini cha kufanya, mwanaume anatoka kwenye shughuli zake amechoka, amechukizwa huko alikokuwa, anafika nyumbani kwake (kwa matarajio ya kwamba atapumzisha kichwa chake) badala yake anakutana na mdomo wenye shombo wa mwanamke, hii hupelekea wanaume wengi kuamua kupitia kwenye mabaa ili huko waweze kukutana na marafiki na kupata fresh drinks na kuondoa stress, majumbani kwao hakuna amani wala utulivu, sasa ni hapo mwanaume anajikuta amejitumbukiza kwenye kufanya uzinifu, na bahati yenu mbaya, michepuko huwa wajanja sana, anajitahidi kumjengea mazingira mwanaume mpaka anasahau kwake, kwa yale maujanja, nyie mlioolewa hamuwezi chochote, mnalipua mapishi, hata ikifika usiku mume kupewa haki yake ya ndoa mpaka mpigizane kelele, yaani ni shida tupu, mjirekebishe, Biblia imeandika, mwanamke mpumbavu huibomoa nyumba yake kwa midomo yake mwenyewe, unaweza kumletea hizo zawadi mke na bado akakuoana zoba, hata kusema asante tu hakuna, mwanaume akipekeleka zawadi kwa mchepuko anapokewa mpaka na busu, badirikeni mzinusuru ndoa zenu.
Tafakari.
Mke mwenye akili timamu hawezi pewa ya kutosha na asipendeze labda iwe huruka yake ya uchafu, unampa pesa kiduchu yeye afanye nini jamani toa matumizi mke apendezeKitu cha Kwanza kwa mwanamke ni usafi wa ndani na nje. Wakati mwingine huwa nawaona wanawake yaani akisha pata watoto watatu wawili watatu, mapenzi yote anayahamishia kwa watoto na anamuona mme kama si chochote.
Utashangaa mme unatoka kazi, hata kukupokea hataki ndo kwanza utakuta yupo nje kanyoosha miguu na maziwa yote yako nje, sasa hapo apetite ya kumpenda itatoka wapi?
Mwanaume au mumeo si mtu sahihi wa kwenda nae ligi hata siku moja mtazamo wangu hata Kama kakufanyia ubaya we tafuta njia tu ya kutafuta amani ya moyo wako ila sio eti kafanya hivi na mimi nafanya vile utaumia ww.
Just take care of yourself maradufu tu oga hata Mara kumi fundisha watoto wako kuna ving vya kufanya Kama mwanamke zaidi ya kuleta ligi na mwanaume
Umenena vema