Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 11,050
- 31,412
Sure , maridhiano ni njia mwafaka ya kutatua migogoro kwenye mahusiano.2007 nkakimbia nkarudi 2009 upya nikonikoosanaaaa hiii sitokiii hata aje nani..kwasasaa nashaurii tu na kufanya maridhiano pale kunapokuwa na ndoa zenye visa vya tabia nchi....
2009 -2013 nilikua na mtu ambaye nilimpoteza hio 2013 kwa issue ingeyoweza kutatulika kwa mazungumzo na maridhiano.