MtoMsimbazi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2009
- 1,800
- 3,091
jamani naombeni msaada wenu wa kimawazo, hivi umemkuta mtu anamtoto wake (mke) na wewe ukazaa nae ila hujawahi sikia kuwa huyo mtoto amepigiwa simu na baba yake hata siku moja ghafla usiku wa saa 3 anapiga anadai anatka kuongea na mwanae kupitia simu ya mke wako je nini unatakiwa kufanya ili kuyaweka haya mazingira vizuri?.
naombeni msaada wenu wana JF.
mnampa tu simu awe anaongea na mwanae...
pia kama roho inakuuma sana tafuta simu maalumu isiwe yako wala ya wife mumpe na number awe anaongea na mwanae muda wowote...inaweza kuwa ya dada hv...
punguza wivu mkuu...angekuwa ana lengo baya angemtafuta mkeo kwa siri...relax
Mbona unanitisha mtu wangu, ndiyo ni kweli na nilijaribu kuongea nae akasema km ningekuwa na nia mbaya ningekuficha hata haya mambo ningekuwa sikwambii kwakuwa mwanzo alimwita mtoto then akafunga mlango wa chumbani nilipotaka kwenda alinizuia nisiende, baadae nikagundua kuwa anaongea nae kwakuwa mwanzo hakuwa ananiambia au sijawahi kuambiwa kuwa mtoto huwa anaongea na baba yake ila imetokea nikiwepo na alikuwa mwenye wasiwasi sn, iliniuma sn kwakuwa muda mwingi nakuwa sipo ingawa jamaa anafanya kazi mkoa mwingine wa mbali lakini huwezi jua nini kinaendelea wakati mimi nipo kazini
mkuu wamba hapa naomba nkwambie hivi ingawa naweza kutofautiana na wenzangu wote.
Kwanza kabisa ujue kuwa wewe ndiye unayeish hayo maisha and not anybody else so serikali yako ambayo ndio kichwa chako inatakiwa iamue.
kwangu mimi mtoto wa kambo siyo ishu kabisa si mama alikwambia? na ukajua kuwa yuko kwa baba yake? na mkeo unaish naye wewe?sasa hapo tashwishwi yatoka wapi?
kaka amini maneno yangu, mkeo hawez kukusaliti kwa staili hiyo na si kweli kwamba mahawara huwa hawaachani. na huyu hakuwa hawara bali alikua pengine hata mchumba ila haiku work out. kama mm wewe namwacha aongee na hata wewe unaongea naye na siku akifunga shue mwite mtoto aje kupumzika likizo ili pia amfurahie mama yake. nakwambia mpende huyu mtoto wala usiumie roho kwa kumuona anawasialana na mkeo.
hapo ni busara tu inabidi kutumika wala siyo hisia za mapezi mkuu.
mnampa tu simu awe anaongea na mwanae...
pia kama roho inakuuma sana tafuta simu maalumu isiwe yako wala ya wife mumpe na number awe anaongea na mwanae muda wowote...inaweza kuwa ya dada hv...
punguza wivu mkuu...angekuwa ana lengo baya angemtafuta mkeo kwa siri...relax
Saa 3 usiku sio muda mrefu sioni shida labda amemkumbuka mtoto. Lazima watu waaminiane saa nyingine, ukizaa na mtu uhusiano haufi labda in exceptional cases.
mkuu wamba hapa naomba nkwambie hivi ingawa naweza kutofautiana na wenzangu wote.
Kwanza kabisa ujue kuwa wewe ndiye unayeish hayo maisha and not anybody else so serikali yako ambayo ndio kichwa chako inatakiwa iamue.
kwangu mimi mtoto wa kambo siyo ishu kabisa si mama alikwambia? na ukajua kuwa yuko kwa baba yake? na mkeo unaish naye wewe?sasa hapo tashwishwi yatoka wapi?
kaka amini maneno yangu, mkeo hawez kukusaliti kwa staili hiyo na si kweli kwamba mahawara huwa hawaachani. na huyu hakuwa hawara bali alikua pengine hata mchumba ila haiku work out. kama mm wewe namwacha aongee na hata wewe unaongea naye na siku akifunga shue mwite mtoto aje kupumzika likizo ili pia amfurahie mama yake. nakwambia mpende huyu mtoto wala usiumie roho kwa kumuona anawasialana na mkeo.
hapo ni busara tu inabidi kutumika wala siyo hisia za mapezi mkuu.
Nimependa hii. Kamata like manual. No kuona kitufe
Zingatia kuwa mahawala huwa hawaachani. Na kama alimwachia na mtoto, umeliwa mkuu! Asikudanganye mtu wanawake sio watu! Mwanamke anaweza kuwa na mabwana hata zaidi ya 3 na wote anawaweka sawa!
Shachoka mie na hawa viumbe.
Dear, yeye na mke wake ndio wanaishi na mtoto, halafu baba mzazi anawapigia sim usiku kwa kupitia sim ya madam, anataka kuongea na mwanae.