Tutor B
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 9,025
- 6,598
Kill ur self then
No, thank you! Maisha matam, club ataenda nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kill ur self then
Kinachomfanya awe bora zaidi ni kwa sababu amepitia mengi, na hivyo ni Delira mzuri sana kwa wanaume. Mara nyingi wanawake waliozalishwa wakaachika / kuachwa huwa wakisikika wakitamba hivi "Hakuna mwanaume wa kunibabaisha mimi"Kwanza unatakiwa ujue changamoto za kuishi na mwanamke wa aina hiyo,pili ujiamini na umuamini mwenzio,tatu unatakiwa ujue wazazi hawa wawili wa mtoto huyu ni lazima wawasiliane tu hilo huwezi kuzuia.Pamoja na hayo yote mwanamke mwenye mtoto/watoto ni mwanamke anaeweza kuwa mke bora zaidi!
Pole mkuu. Bado sijaelewa concern yako hasa katika suala hili. Je,jamani naombeni msaada wenu wa kimawazo, hivi umemkuta mtu anamtoto wake (mke) na wewe ukazaa nae ila hujawahi sikia kuwa huyo mtoto amepigiwa simu na baba yake hata siku moja ghafla usiku wa saa 3 anapiga anadai anatka kuongea na mwanae kupitia simu ya mke wako je nini unatakiwa kufanya ili kuyaweka haya mazingira vizuri?.
naombeni msaada wenu wana JF.
Kwanza unatakiwa ujue changamoto za kuishi na mwanamke wa aina hiyo,pili ujiamini na umuamini mwenzio,tatu unatakiwa ujue wazazi hawa wawili wa mtoto huyu ni lazima wawasiliane tu hilo huwezi kuzuia.Pamoja na hayo yote mwanamke mwenye mtoto/watoto ni mwanamke anaeweza kuwa mke bora zaidi!
sio kweli! inategemea na ni mtu wa aina gani!Zingatia kuwa mahawala huwa hawaachani. Na kama alimwachia na mtoto, umeliwa mkuu! Asikudanganye mtu wanawake sio watu! Mwanamke anaweza kuwa na mabwana hata zaidi ya 3 na wote anawaweka sawa!
Shachoka mie na hawa viumbe.
Mdau unaongea ukweli wengi wasiopenda kuusikia! Choma facts mzee......!Kinachomfanya awe bora zaidi ni kwa sababu amepitia mengi, na hivyo ni Delira mzuri sana kwa wanaume. Mara nyingi wanawake waliozalishwa wakaachika / kuachwa huwa wakisikika wakitamba hivi "Hakuna mwanaume wa kunibabaisha mimi"
Dear, yeye na mke wake ndio wanaishi na mtoto, halafu baba mzazi anawapigia sim usiku kwa kupitia sim ya madam, anataka kuongea na mwanae.
Zingatia kuwa mahawala huwa hawaachani. Na kama alimwachia na mtoto, umeliwa mkuu! Asikudanganye mtu wanawake sio watu! Mwanamke anaweza kuwa na mabwana hata zaidi ya 3 na wote anawaweka sawa!
Shachoka mie na hawa viumbe.
ahhhhaaaa ukijumlisha na Mama yako, Shangazi zako, bibi zako na Dada zako wote hapo kwenye red
mkuu wamba hapa naomba nkwambie hivi ingawa naweza kutofautiana na wenzangu wote.
Kwanza kabisa ujue kuwa wewe ndiye unayeish hayo maisha and not anybody else so serikali yako ambayo ndio kichwa chako inatakiwa iamue.
Kwangu mimi mtoto wa kambo siyo ishu kabisa si mama alikwambia? Na ukajua kuwa yuko kwa baba yake? Na mkeo unaish naye wewe?sasa hapo tashwishwi yatoka wapi?
Kaka amini maneno yangu, mkeo hawez kukusaliti kwa staili hiyo na si kweli kwamba mahawara huwa hawaachani. Na huyu hakuwa hawara bali alikua pengine hata mchumba ila haiku work out. Kama mm wewe namwacha aongee na hata wewe unaongea naye na siku akifunga shue mwite mtoto aje kupumzika likizo ili pia amfurahie mama yake. Nakwambia mpende huyu mtoto wala usiumie roho kwa kumuona anawasialana na mkeo.
Hapo ni busara tu inabidi kutumika wala siyo hisia za mapezi mkuu.
mimi huwa nawaambia watu siku zote,usijijengee fikra kwamba wanao hawawezi kuwa watoto wa kambo kwa mtu mwingine,kwa hiyo yale yote unayopenda wanao wafanyiwe,na wewe wape haki watoto wako wa kambo,kama wewe ungekuwa umezaa nje ,je usingependa kumsalimia mwanao kupitiasimu ya mzazi mwenzako?kwa watanzania wengi,hasa wa dar,na haya mafoleni kufika majumbani saa 12-saa moja usiku na kuendelea,hivyo saa tatu sio muda mbaya,ndo kwanza tunakuwa tumemaliza kuangalia taarifa ya habari.
NOTE: Usioe mwanamke aliyezaa kama uko 'weak'(usikae jikoni kama huwezi vumilia joto) period, mengine mtapasuana vichwa tu.[/QUOTE]
Verry good!