Kuishi na mtoto wa kambo

Kuishi na mtoto wa kambo

1. gfsonwin kwa kipindi chote cha maisha yao hakuwahi kumuona mkewe akimpa mtoto simu na hata baada ya kupigiwa akakkimbia chumbani kupokea, kwa nini? na vilevile ni kwa vipi baba wa mtoto awe na confidence kumpigia mama mtoto saa tatu usiku?

2. Na kwa mume, walishakaa kuzungumza na mkewe juu ya mawasiliano kati ya mtoto wa kambo na baba yake?

3. Sasa limetokea nafikiri ni vizuri amuulize mkewe kama huwa wanawasiliana kwa njia ya simu yake ili wapange namna bora ya mawasiliano kati ya mtoto na baba yake.

4. Mume aongee na baba ya huyo mtoto ili wafahamiane na angalau kupeana ukweli....na kumweleza makubaliano ya kuwasiliana na mtoto wake........

Nachokijua mimi wanaume wengi tunaogopa kuwapigia simu wake za watu usiku (hata kama wengine wanaona saa tatu ni mapema mno) ingawa tunapenda kujaribu.............Wachache wenye staha kwa mpenzi wa zamani labda awe firm la sivyo ..............!
 
Last edited by a moderator:
Wamezaa hawajaza yeye ni mwanaume huyo ni mke wa mtu.
Hizo ni dharau tu kwa kuwa anajua fika mida ya saa tatu jamaa yuko home ametaka kumrusha roho.

Na mkewe amejua kuwa alichofanya mzazi mwenzie ni kibaya ndio maana ameamua kujificha. Huwezi jua inawezekana wife ni mwaminifu ila jamaa linaomba kukumbushia ndio maana wife anaogopa kuonga na ex wake adharani hajuhi ataleta story gani.

Be a man weka limits she is your wife.

Kuna wanaume wanaona thamani ya mwanamke baada ya kuachana. Be careful asije akawa anabembeleza warudiane.

nyumba kubwa umeeeleweka vyema na ndicho nilichokuwa na mashaka nacho....ni rahisi sana kwa mwanamke kumpigia mume wa mtu lakini kwa mwanaume kumpigia mke wa mtu usiku kisa mmezaa naye inaleta mashaka makubwa.

Ni kweli pia mwanamke anaweza kuwa hana tatizo ila jamaa ndio anataka kuvuruga.........Nina rafiki yangu alikuwa ana uwezo wa kukutana na mama wa mtoto wake kwa namna ambayo huwezi kudhania na yule ni mke wa mtu, Jambo nililojifunza kwake ni kuwa mume anapogundua hilo atafute ufumbuzi haraka na kuelezana kinagaubaga na mke wake kama hii kesi ya huyu jamaa.

Ili kuondoa dukuduku waongee na mke wake kuhusu hii ishu na kila kitu kiwe wazi.......Hii habari ya kusema eti "ningetaka kukusaliti usingejua" haina mashiko kabisa.
 
Last edited by a moderator:
@wamba hayo mazingira ni hatarishi sana hata kama hawana nia mbaya,kama ni kweli baba ana hamu na mwanae kashindwa kuvumilia mpaka asubuhi au kwa nini asingewasiliana nae mapema,je kuna dharura gani ya msingi ya kumfanya atake awasiliane na mtoto muda huo?..mkuu kuna dharau kubwa sana hapo inaweza isiwe kutoka kwa mkeo lakini ni kutoka kwa huyo mzazi mwenzie na mkeo.Tengeneza sheria zako na ziheshimiwe na pande zote mbili vinginevyo ni kujitafutia njia mbadala ya kupata vidonda vya tumbo na presha tu,Amini nakuambia ukifumbia macho unatengeneza bomu ndani ya maisha yako ya ndoa.
 
Back
Top Bottom