platozoom
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 9,424
- 11,320
1. gfsonwin kwa kipindi chote cha maisha yao hakuwahi kumuona mkewe akimpa mtoto simu na hata baada ya kupigiwa akakkimbia chumbani kupokea, kwa nini? na vilevile ni kwa vipi baba wa mtoto awe na confidence kumpigia mama mtoto saa tatu usiku?
2. Na kwa mume, walishakaa kuzungumza na mkewe juu ya mawasiliano kati ya mtoto wa kambo na baba yake?
3. Sasa limetokea nafikiri ni vizuri amuulize mkewe kama huwa wanawasiliana kwa njia ya simu yake ili wapange namna bora ya mawasiliano kati ya mtoto na baba yake.
4. Mume aongee na baba ya huyo mtoto ili wafahamiane na angalau kupeana ukweli....na kumweleza makubaliano ya kuwasiliana na mtoto wake........
Nachokijua mimi wanaume wengi tunaogopa kuwapigia simu wake za watu usiku (hata kama wengine wanaona saa tatu ni mapema mno) ingawa tunapenda kujaribu.............Wachache wenye staha kwa mpenzi wa zamani labda awe firm la sivyo ..............!

Last edited by a moderator: