Kuishi na mtoto wa kambo

Kuishi na mtoto wa kambo

Hakuna shida in all that! Mwache tu mkeo ainteract na mzazi mwenzie. Hakuna kitu kitakacho kufurahisha kama ukiona mkeo anakuwa around many potential men freely then akaamua kuwa mkeo peke yako. Choosing you above all others....
Love comes with freedom at some point because it is through freedom that we can realy choose and once again it is so good to be chosen!
 
Kwanza unatakiwa ujue changamoto za kuishi na mwanamke wa aina hiyo,pili ujiamini na umuamini mwenzio,tatu unatakiwa ujue wazazi hawa wawili wa mtoto huyu ni lazima wawasiliane tu hilo huwezi kuzuia.Pamoja na hayo yote mwanamke mwenye mtoto/watoto ni mwanamke anaeweza kuwa mke bora zaidi!
 
Kinachomfanya awe bora zaidi ni kwa sababu amepitia mengi, na hivyo ni Delira mzuri sana kwa wanaume. Mara nyingi wanawake waliozalishwa wakaachika / kuachwa huwa wakisikika wakitamba hivi "Hakuna mwanaume wa kunibabaisha mimi"
 
jamani naombeni msaada wenu wa kimawazo, hivi umemkuta mtu anamtoto wake (mke) na wewe ukazaa nae ila hujawahi sikia kuwa huyo mtoto amepigiwa simu na baba yake hata siku moja ghafla usiku wa saa 3 anapiga anadai anatka kuongea na mwanae kupitia simu ya mke wako je nini unatakiwa kufanya ili kuyaweka haya mazingira vizuri?.
naombeni msaada wenu wana JF.
Pole mkuu. Bado sijaelewa concern yako hasa katika suala hili. Je,
- ni mtoto kupigiwa simu na babake? au
- ni muda wa kupigiwa simu? au
- ni simu kupigwa kupitia kwa mama wa mtoto/mkeo? au
- ni simu kupigwa baada ya kile kinachoonekana kuwa "kimya" cha muda mrefu? (so unajiuliza kimetokea nini mpaka sasa anakumbuka kumpigia simu mwanae?)

Funguka zaidi.

Ushauri: "Ukipenda boga, penda na ua lake"!
 
Kwanza unatakiwa ujue changamoto za kuishi na mwanamke wa aina hiyo,pili ujiamini na umuamini mwenzio,tatu unatakiwa ujue wazazi hawa wawili wa mtoto huyu ni lazima wawasiliane tu hilo huwezi kuzuia.Pamoja na hayo yote mwanamke mwenye mtoto/watoto ni mwanamke anaeweza kuwa mke bora zaidi!

Usemayo ni kweli, kwa kuwa na malezi bora na akili ya maisha kwakweli hilo nampa hongera si semi uongo ni mtu nzuri sn kwenye mipango na anataka ufanyaji wa kazi si longolongo yani ukitaka mkosane umwahidi kitu then usifanye ingawa ukimweleza mapema kilichosababisha ukashindwa timiza huwa anakuelewa.
 
1. Nendeni kwenye sheria yatolewe maelekezo jinsi ya yeye ya kuwasiliana na mtoto namaanisha ratiba inayoeleweka 2. wakae kikao cha familia na atafutwe mtu wa kuwa anakuja kuwachukua watoto, sidhani kama ni vema kwa watu walioachana kuwasiliana kiholela wakati kila mtu anacommitments zake.
 
Zingatia kuwa mahawala huwa hawaachani. Na kama alimwachia na mtoto, umeliwa mkuu! Asikudanganye mtu wanawake sio watu! Mwanamke anaweza kuwa na mabwana hata zaidi ya 3 na wote anawaweka sawa!

Shachoka mie na hawa viumbe.
sio kweli! inategemea na ni mtu wa aina gani!
 
Kinachomfanya awe bora zaidi ni kwa sababu amepitia mengi, na hivyo ni Delira mzuri sana kwa wanaume. Mara nyingi wanawake waliozalishwa wakaachika / kuachwa huwa wakisikika wakitamba hivi "Hakuna mwanaume wa kunibabaisha mimi"
Mdau unaongea ukweli wengi wasiopenda kuusikia! Choma facts mzee......!
 
Dear, yeye na mke wake ndio wanaishi na mtoto, halafu baba mzazi anawapigia sim usiku kwa kupitia sim ya madam, anataka kuongea na mwanae.

ahaa sasa hapa ma dearet umenielewesha vizuri, sasa kwani tatizo li wapi? hivi una mwanamke mjinga ambaye mumewe atamkubalia mtoto wake wa kambo halafu amsaliti kwa kurudi kutembea na huyo x wake? labda mimi nimeumbwa tofauti sana.

ila ishu hapa huyu mama ndiye anayetakiwa kuonyesha hisia za wazi juu ya hili amwambie huyo baba call thru ma hubby phone ili kupunguza tashwishwi ingawa jamani kama anataka kutoka na huyo mwanaume hata kama ufanye nini atafanya tu. kwangu mimi ningeliacha kama lilivyo tu akiwa mpumbavu ataheshim akiwa mjinga atajiharibia.
 
Zingatia kuwa mahawala huwa hawaachani. Na kama alimwachia na mtoto, umeliwa mkuu! Asikudanganye mtu wanawake sio watu! Mwanamke anaweza kuwa na mabwana hata zaidi ya 3 na wote anawaweka sawa!

Shachoka mie na hawa viumbe.

ahhhhaaaa ukijumlisha na Mama yako, Shangazi zako, bibi zako na Dada zako wote hapo kwenye red
 
ahhhhaaaa ukijumlisha na Mama yako, Shangazi zako, bibi zako na Dada zako wote hapo kwenye red

Mbona umetaja wachache? nakuongezea .... mke wangu, hawala yangu, binti yangu na wafanyakazi wenzangu (wa kike)
 
Hawajaachana hao! Kwa lugha ya kudanyia wanaitana "Mzazi Mwenzangu" Pili kuwasiliana kiholela kupo ndo maana anajifungia chumbani na kuongena na mzazi mwenzake. Kama anaongea na motto ya nini kujificha?
 
mkuu wamba hapa naomba nkwambie hivi ingawa naweza kutofautiana na wenzangu wote.
Kwanza kabisa ujue kuwa wewe ndiye unayeish hayo maisha and not anybody else so serikali yako ambayo ndio kichwa chako inatakiwa iamue.

Kwangu mimi mtoto wa kambo siyo ishu kabisa si mama alikwambia? Na ukajua kuwa yuko kwa baba yake? Na mkeo unaish naye wewe?sasa hapo tashwishwi yatoka wapi?

Kaka amini maneno yangu, mkeo hawez kukusaliti kwa staili hiyo na si kweli kwamba mahawara huwa hawaachani. Na huyu hakuwa hawara bali alikua pengine hata mchumba ila haiku work out. Kama mm wewe namwacha aongee na hata wewe unaongea naye na siku akifunga shue mwite mtoto aje kupumzika likizo ili pia amfurahie mama yake. Nakwambia mpende huyu mtoto wala usiumie roho kwa kumuona anawasialana na mkeo.

Hapo ni busara tu inabidi kutumika wala siyo hisia za mapezi mkuu.

nakuunga mkono na mguu pia! Kuwa na amani.
 
Jiweke wewe kwenye nafasi ya huyo baba wa kambo,halafu huyo mtoto ona kama wa kwako,ambae mama yake ulimzalisha,hukumuoa,kaolewa na mwanaume mwingine!halafu wewe ndo unampigia mzazi mwenzako kuongea na mwanao!jibu utakalopata,litakuondolea haya mashaka yote!
 
mimi huwa nawaambia watu siku zote,usijijengee fikra kwamba wanao hawawezi kuwa watoto wa kambo kwa mtu mwingine,kwa hiyo yale yote unayopenda wanao wafanyiwe,na wewe wape haki watoto wako wa kambo,kama wewe ungekuwa umezaa nje ,je usingependa kumsalimia mwanao kupitiasimu ya mzazi mwenzako?kwa watanzania wengi,hasa wa dar,na haya mafoleni kufika majumbani saa 12-saa moja usiku na kuendelea,hivyo saa tatu sio muda mbaya,ndo kwanza tunakuwa tumemaliza kuangalia taarifa ya habari.
 
Tatizo sio muda wa kupiga simu; tatizo ni kujifungia chumbani na kuongea kwa kufichaficha. Kwanza huyo mama ana dharau sana!
 
sina tatizo na kupiga simu. Ila tu nitamwambia simu za usiku wa manane hapana, unless kama kuna dharula.
 
Kama mwanamme uko weak, usijaribu kudate ama kuoa mwanamke mwenye mtoto, utateseka bure.

Watu wakishazalishana watoto uhusiano wao haufi asilani, uhusiano wa mapenzi unaweza kufa lakini mambo mengine wakaendelea kushiriakiana kama kawa.

Imagine baba a mtoto wa mkeo kafiwa mama yake (bibi wa mtoto unaishi naye kafa) ina maana mkeo hatenda msibani?
Haya mkeo kafiwa mzazi ina maana baba wa mtoto asije kuhani au msibani??
Uhusiano wa watu waliozaa upo na ni wa daima, uwe na 'wivu' usiwe na wivu upo tu.

Na hii kufanya eti watu waliozaa kuonana ni 'haramu' imetokea wapi? Mie huwa sielewi, hii ya kuwafanya waonnanie mafichoni ndio mwanzo wa kuwafanya watu wakakumbushie huko mafichoni. Wakati mwingine wala ishu sio mtoto wakati mwingine ni kama rafiki aliyepotea anataka kumsalimu tu, so mtoto inakuwa kisingizio na wala hawahitaji kubanjuana, it's nature huwezi ipinga.

Kuhusu kuongea na mtoto, kama alivyosema Smile, wekeni landline ama simu ya dada anakuwa anatumia kuwasiliana naye.

NOTE: Usioe mwanamke aliyezaa kama uko 'weak'(usikae jikoni kama huwezi vumilia joto) period, mengine mtapasuana vichwa tu.
 
Back
Top Bottom