Moja Kwa Moja Kwenye Mada
Hapa Sioni Ubaya Kuishi Na Ndugu Bali Nazungumuzia Ukiwa Na Ndugu Unaishi Nao Nyumbani Saa Nyingine Unakoswa Uhuru Wa Kujiachia Moja Kwa Moja.
Kwaupande Wangu Naona Vizuri Ni Kuishi Na Familia Yako Pekeako Bila Mchanganyiko Wa Ndugu Wengine Kwasababu Naona Hata Mambo Ya Kifamilia Yakiwa Ni Ya Siri Yanavuja Mitaani Kwasababu Wavijishaji Wanakua Ni Ndugu Zetu.
Mfano:
Mimi Nikigombana Na Mkewangu Majirani Wanajua Mpaka Chanzo Cha Kugombana Ila Kipindi Naishi Kipindi Naishi Na Familia Yangu Huezi Kujua Hata Tukigombana Utakuta Tunacheka Tu Utafikiri Hakuna Tatizo.
Licha Ya Majirani Hata Ndugu Ambao Wapo Mbali Huishi Nao Wanajua Mnaishije Taarifa Zinawafikia.
Kingine Nilichogundua Mfanyakazi Wa Ndani Na Ndugu Ni Vitu Viwili Tofauti Mfanyakazi Hawezi Kutoa Taarfa ya Jinsi Tunavyoishi Kwa Ndugu Zangu Ambao Siishinao, Siri Ni Busara Kwenye Familia.
Yuda Exalioth
Jamiiforums
Geita.