Kuishi na ndugu nyumba moja kunasababisha nashindwa kujiachia na mke wangu

Yes Nyumbani Unakua na matabaka ya tabia wakati wewe ulijitegemea ili ujenge familia na sheria mpya hapo kwako ndugu hawajiongezi
 
Asante mkuu kwa mchango kwenye maada hii rakini kuna ugumu mkubwa ndugu kumwambia aondoke akatafute maisha kwingine

Unakuta ndungu kaja na ana mishe zake ila kula kulala kwangu mi kinachoniumaga ni mambo ya nyumbani kuyapeleka mitaani na hii tabia wanayo watu wengi kwakeli
 
Moja Kwa Moja Kwenye Mada

Hapa Sioni Ubaya Kuishi Na Ndugu Bali Nazungumuzia Ukiwa Na Ndugu Unaishi Nao Nyumbani Saa Nyingine Unakoswa Uhuru Wa Kujiachia Moja Kwa Moja.


Geita.
Kama huwezi kuwaondoa basi nenda kapange bwege wewe
 
95% Warabu na wahindi wanaishi na familia zao na huoni wake zao kugombana na wakwe zao wanawaheshimu hata kwa hali Yoyote na wanakubali lawama ttzo lipo kwetu waswahili hatuna uvumilivu na wake zetu hawana uvumilivu akilaumiwa kidgo na mkwee wake basi usiku akija mume hapatishi
 
Bado hujaeleza unataka kujiachia kwa namna ipi?

Wacha kuruka ruka mambo unatunyima utamu
 
Wa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…