Kuishi na ndugu nyumba moja kunasababisha nashindwa kujiachia na mke wangu

uko
sahihi
 
Tabia ya kuish na ndug nilishaikataa wazi wazi Home watu wote wakaniona mbaya walinisema mpk bibi yng aliniambia " kwani wewe ni funza ata uwishi peke ako?" Nimenunua kiwanja nje ya mji huko ndo yatakua makaazi yng ya baadae lengo 1 la kununua kiwanja uko ni kukwepa hawa ndug kiukwel napenda uhuru me mda wote natak nibaki na mke wng tu
 
🤔🤔🤔Ila kwel
 
Ndugu wa kuja kwangu.
Ni mgonjwa anaendelea na matibabu.
Mwanafunzi anasoma.
Mzazi kaja kusalimia.
Wengine wote wakatafute hela na maisha yao huko.
Sina nafasi ya mtu anakaa tu na nguvu anazo.
 
Ndugu wa kuja kwangu.
Ni mgonjwa anaendelea na matibabu.
Mwanafunzi anasoma.
Mzazi kaja kusalimia.
Wengine wote wakatafute hela na maisha yao huko.
Sina nafasi ya mtu anakaa tu na nguvu anazo.
Uko sawia kabisa mkuu
 
Likwepe mapema mkuu hili ni tatizo uspolitatua mapema
 
Mnawezaje kuishi na ndugu jmn?[emoji2960] Maana mie najua ndugu anatakiwa aje kusalimia au kwa dhumuni fulani ndani ya muda fulani asepe zake, asa biashara za kukaa na ndugu miaka nenda Rudi ni jau sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…