Kuishitaki kampuni kwa kutokulipa mishahara na kuchangia NSSF

Kuishitaki kampuni kwa kutokulipa mishahara na kuchangia NSSF

Beberu Mwitu

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2019
Posts
495
Reaction score
708
Habari za muda huu wana JF,
Bila kupoteza muda naomba niende kwenye mada moja kwa moja. Mimi ni mhanga wa kutokulipwa mshahara kwa muda wa miezi 3 sasa na kampuni moja inayojihusisha na utoaji elimu msingi kwa lugha ya Kiingereza, yaani English Medium.

Shule hizo ndio kama waanzilishi wa mfumo wa elimu hii hapa nchini. Lakini kwa mwaka huu hali imekuwa tofauti katika uendeshaji, mishahara hawalipi na hata NSSF mara ya mwisho kuwawekea wafanyakazi ni mwezi Novemba mwaka jana.

Viongozi waliowekwa hawatoi maelezo yoyote. Kilichonileta hapa ni kujaribu kupata muongozo wa namna ya kupeleka malalamiko yangu kwenye mamlaka zinazohusika na masuala haya ya kikazi, hata kama ni mahakamani.

Wafanyakazi tunaishi kama ndege hatuijui kesho yetu itaendaje!. Kampuni husika nimeihifadhi jina kwa sasa, japo najua wahusika wanaweza kusoma uzi huu. Nawasilisha kwenu wajuvi.
 
Habari za muda huu wana JF,
Bila kupoteza muda naomba niende kwenye mada moja kwa moja. Mimi ni mhanga wa kutokulipwa mshahara kwa muda wa miezi 3 sasa na kampuni moja inayojihusisha na utoaji elimu msingi kwa lugha ya Kiingereza, yaani English Medium. Shule hizo ndio kama waanzilishi wa mfumo wa elimu hii hapa nchini. Lakini kwa mwaka huu hali imekuwa tofauti katika uendeshaji, mishahara hawalipi na hata NSSF mara ya mwisho kuwawekea wafanyakazi ni mwezi Novemba mwaka jana. Viongozi waliowekwa hawatoi maelezo yoyote. Kilichonileta hapa ni kujaribu kupata muongozo wa namna ya kupeleka malalamiko yangu kwenye mamlaka zinazohusika na masuala haya ya kikazi, hata kama ni mahakamani. Wafanyakazi tunaishi kama ndege hatuijui kesho yetu itaendaje!. Kampuni husika nimeihifadhi jina kwa sasa, japo najua wahusika wanaweza kusoma uzi huu. Nawasilisha kwenu wajuvi.
Anzia Tuico
 
Poleni sana kwa changamoto,kama tatizo nikutolipwa mishahara nenda CMA kafungue madai ya kutolipwa mishahara(Breach of Contract) .
Michango ya NSSF ,itabidi uende NSSF iliyokaribh na wewe onana na Meneja na umpe malalamiko Yako pia jitahidi kuwa umetunza salary slips zako maana zitakusaidia baadae.
All the best
 
Back
Top Bottom