Kuitana 'babe' kwenye mahusiano ni utoto na mwanzo wa kukosa kuheshimika, hasa kwa mwanamme

Mambo ya kuiga hayo, Tanzania tunapenda kuiga mambo ya kimapenzi toka nje wakati hatujuwi na wala hatuna mapenzi ya ukweli. Kila kitu cha mapenzi kwetu ni fake tu.
 
Kila mtu abaki na msimamo wake.
 
Suala la kuachana na mtu halihusiani na majina mnayoitana muhimu usimuite jina la tusi
Inaonekana mahusiano yako yapo serious sana huyo binti ana kazi kwelikweli🤸
Babe ephen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…