Kuitana 'babe' kwenye mahusiano ni utoto na mwanzo wa kukosa kuheshimika, hasa kwa mwanamme

Watu tumeshavuka huko kitambooo!!! Sahivi ni mwendo wa...

"Ba mtu", " ma mtu", "ba tamu", "ma tamu". Weuweeeeee!!!

Wengine tuko stage ya kuitwa majina ya nida[emoji23][emoji23]mtoa mada ye babe tu anakoroma hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…