Kuitwa kwenye usaili jimbo la Kigamboni na Ubungo-NEC

Hizi hakuna shortlist ni wote walioomba! Hata km hujaomba unaweza kujichomeka hiyo siku ya usaili..
Kumbee Nlikua Natafakari tu watawapunguza vipi maelfu ya watu na watawauliza maswali gani? Na je watasoma saili zote? Au ndo pata potea
 
Na hiyo ndio hatari ya kuita wote walioomba bila kuchambua,inawezekana wengine hawakuomba kabisa wakafika siku hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…