rich1
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,020
- 3,309
Sasa c bora angeaanza kufanya wakati amemaliza std 7Ndugu Mbaga mlikuwa kama wangapi kwa kukisia??kwa kweli ajira ni janga,juzi nimekutana na mdada Bachelor Graduate wa Education UDOM anafanya kazi Bar
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app