Corluka Neven
JF-Expert Member
- Apr 26, 2017
- 317
- 358
Ndio natoka hivyo niende hahahaMkuu kwenye wengi kuna mengi unaweza okota pisi za kugegeda pale nyingi tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio natoka hivyo niende hahahaMkuu kwenye wengi kuna mengi unaweza okota pisi za kugegeda pale nyingi tu
Haha nipe ya msimamizi ya kituoNilimsindikiza dada angu ktk interview yao nikajua na maswali watakayo muuliza nikampanga akajibu apate nae awe na storia ya kusimamia uchaguzi
Nenda mkuu usijali waweza okota dodo chini ya mbuyu ya mungu mengi ndugu yanguAisee naona hapa kameseji kametumwa ..namba ngeni!!!kina sema habari unatakiwa kufika kesho saa mbili kwa mkapa kwenye interview!!!yan daaa sijui niendee yan hata sielewii...uyu alienitumia meseji ni nani!!!maana sikua na mpango tena
Ahaa 😀😀😀 natafuta mke broNilimsindikiza dada angu ktk interview yao nikajua na maswali watakayo muuliza nikampanga akajibu apate nae awe na storia ya kusimamia uchaguzi
Kazi ni kazi tu hata hyo ya bar as long as huibi, Mimi siwezi kuwa Sina chakuingiza kipato nione aibu ya kufanya kaziTatizo umeongea kama vile huyo dada ametaka mwnyw kufanya hy kazi, lkn yeye mwnyw hajapenda ila maisha magumu na hana namna tena
Mm mwnyw hapa nmemaliza chuo juzi kati tuu hapa lkn hakuna rangi naacha kuiona utadhani nimemalza 2010 hukoooo.!
Ahaa 😀😀😀 natafuta mke bro
Mimi ngumu mzeebaba watanielewa tu😎Hahahaa karibu,dada zangu ni pisi za town sijui kama utaziweza
Sawa sawa mama watotoKazi ni kazi tu hata hyo ya bar as long as huibi, Mimi siwezi kuwa Sina chakuingiza kipato nione aibu ya kufanya kazi
Mchagua jembe si mkulimaSawa sawa mama watoto
Heshima kitu cha bure.Huna AKIRI.
Yani kitu kinaanzia..kwa mjumbe then kipitie serikali za mtaa alafu kije kifikie kwa mtendaji??aisee kama hauna connection hutoboiiiii yani unapeleka fomuu uku unasemaa hapa sipati kabisaaa!!!yani ajira zinazopitia huku ni ngumu sanaa kuzipata kwa upande wangu ninavyo ona aisee?!!bora kwenye mitandao..kidogoo nitajipa matumaini..lakini kata??hahaha apanaa kwakweli
Ulikua unahofuuuKiliko nikuta jana pale taifa kwa mkapa baada ya kupata nafasi ya kuingia kwenye interview!!...haha naingia tuu nikamuona jamaa yangu ambae nimesoma nae chuoni??jamaa kuniona akaniita kwa ishara ya macho??...nikamfata...akanambia andika jina namba na jimbo lako??kama wanavyo fanya wengine!!!>>jamaaa anacheka hana mbavuu...kuhusu maswali akanambia broo we nenda tuu hhahah!!!