Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo hii mkuuKinondoni ni lini
Hiyo unakuja kupangiwa siku ya mwisho kabisa yaani tarehe 27 usiku ndo utaambiwa position yako! Unaweza kuomba usimamizi wa kituo ukapewa ukarani.
Tumetumiwa ujumbe kwenye simu ila sijajua kama wamechambua maombia au la make Kuna mtu tuliomba wote yeye hajatumiwa messageHiyo unakuja kupangiwa siku ya mwisho kabisa yaani tarehe 27 usiku ndo utaambiwa position yako! Unaweza kuomba usimamizi wa kituo ukapewa ukarani.
Inaitwa sampling.. Lakini itafanyika randomly interview na Majina kadhaa yale mtakayoandikisha getini ndo yatachaguliwa... hakikisha unawahi kuingia kwenye hall maana jina lako liwe page za mwanzo!Tumetumiwa ujumbe kwenye simu ila sijajua kama wamechambua maombia au la make Kuna mtu tuliomba wote yeye hajatumiwa message
Nao wanafanyiwa usaili wapiLeo hii mkuu
Mi nilijiandikisha jimbo la Kinondoni kata ya Kinondoni, tumetumiwa ujumbe tuje ofisi za kata Kinondoni ila sijajua kama jimbo zima wanafanya usahili leoNao wanafanyiwa usaili wapi
Vyema mi kata ya ndugumbi bado sijapt taarifa ,ok utanipa update what happened thereMi nilijiandikisha jimbo la Kinondoni kata ya Kinondoni, tumetumiwa ujumbe tuje ofisi za kata Kinondoni ila sijajua kama jimbo zima wanafanya usahili leo
Utatumiwa message mkuu, hata mimi nimetumiwa message usikuVyema mi kata ya ndugumbi bado sijapt taarifa ,ok utanipa update what happened there
Tupe updatesMm nimeingia ndan hapa tyr
Ukifika ndani pia hapo nje utapewa karatasi yenye maswal kadhaa, mfano majukumu ya msimamiz wa kituoTupe updates
Sio poa, hy n fursaNdo mana asubuhi Mbezi zile gari za kibamba walikuwa wanapiga debe zinaishia magari Saba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanauliza kitu ganiWakat naenda, surual ilikuwa inanibana hvy ckuvaa mkanda lkn nmemalizana nao bc hapa nmeshikilia surual na mkono ili isishuke.
Yn mpaka umalzane nao bc umetumia akili na nguvu sana ila naona wengine wanaandika nje nadhan itaokoa watu sasa