Kuitwa kwenye usaili jimbo la Kigamboni na Ubungo-NEC

Kuitwa kwenye usaili jimbo la Kigamboni na Ubungo-NEC

Hivi inakuaje nafasi zaidi ya elfu6 usahili siku moja
 
any way huu naona kama mchezo wa bahati nasibu

nafasi za ajira kwa sasa ni ngumu sana kukidhi mahitaji ya wahitaji na serikali hailioni hilo.
Nilishawai ombaa zile nafasi za daftari la kudumu la mpiga kura/uwandikishwaji/miezi iliyopita!??...kilicho tokea..baada ya kupeleka maombi kata...tukaambiwa mtatumiwa meseji mtakao pata?!!...baada ya siku kadhaaa nikatumiwa meseji ..usiku sanaa kesho asubuhi tufike ukumbi wa Anatogola mnazi mmoja!!!haha yani iyo siku nilifurahi mnooo...kesho yake tukafanya interview tulikua 27!!mkuu wetu akasema tumepitaa ila tuandike tena namba zetu ili tusimpe shida ya kutupigia!!aisee ile siku nikasemaa kweli nina zariii ahhah wote tukaandika namba zetu tukampaa tulikua 27!!hapo hapo nasisi tukaunda grupu la watsap..ili tuwe tuna fahamiana zaidi?!!uwezi amini..siku ya kuitwa kwenye semina .hakuna ata mtu wetu mmoja aliye itwaa??kumuliza jamaa akasema nyie tulieni..jimbo letu badoo kuitwa haha eti wanaitwa kwa awamu majimbo??basi tukasubiriiii semina ikapitaaa??kufika kwenye kazi yonyewe ya uwandikishwaji napo holaaa hakuna hata mmoja aliyeitwaa aiseee hahah!!?si nikaenda kujiandikishaa yani sura nilizo zionaa ni mpyaaa kabisaaaa!!?nikasema sifanyi tenaa huu upuuziii wa mambo ya ajira za kata na serikali za mtaaa aisee
 
Ikatokea tena Ajira uku songasi....sifa kuu ya mwajiriwa awe amesoma shule za pale palee msingi hadi sekondari..basi daaaah nikaona hii ndio bahatii..mzee nikasogea hadi eneo husika..nikaona tangazo kubwa kabisaaa la kazi!!kipaumbele kikubwaa awe mkazi wa pale na awe amesoma pale pale aiseee nikatoka ndukii nikabeba ma CV yangu freshiii nacheti cha la saba na sekondari kwa mbwembwe!!plus na cha chuoo!!!ila sharti vipitie kwa mjumbe wako ili akujue na serikali za mtaa ukapigiwe saini na muhuri!!kwangu haikua ishu kumbwaa cz nimkazi wa paleee pale..kote nikamalizaaa!!nafika serikali za mtaaa baada kuona kilicho nileta na kujua kabisaa naenda kuomba kazi paleee!!jamaa wakasema safi sanaa dogo lazima upatee ndio fursa hio..haha wakanibariki kwa mbwembwe zoteee!!...chaajabu kilicho tokea walio ajiriwa wotee wageni na paleee aisee yan daaa?!!nilichokaa maana nipo jirani hapa. Yani duuu hadi mafundi wengi wageni na hapa
 
Yani kitu kinaanzia..kwa mjumbe then kipitie serikali za mtaa alafu kije kifikie kwa mtendaji??aisee kama hauna connection hutoboiiiii yani unapeleka fomuu uku unasemaa hapa sipati kabisaaa!!!yani ajira zinazopitia huku ni ngumu sanaa kuzipata kwa upande wangu ninavyo ona aisee?!!bora kwenye mitandao..kidogoo nitajipa matumaini..lakini kata??hahaha apanaa kwakweli
 
Ndugu zangu tulipofikia hali ni mbaya sana sijui tunaenda wapi aisee yani mpka kusimamia uchaguzi kuna usaili dah nimechoka nakumbuka miaka yote ambayo nimesimamia uchaguzi enzi izo kulikuwa hakuna uchahuzi kabisa
 
Nilishawai ombaa zile nafasi za daftari la kudumu la mpiga kura/uwandikishwaji/miezi iliyopita!??...kilicho tokea..baada ya kupeleka maombi kata...tukaambiwa mtatumiwa meseji mtakao pata?!!...baada ya siku kadhaaa nikatumiwa meseji ..usiku sanaa kesho asubuhi tufike ukumbi wa Anatogola mnazi mmoja!!!haha yani iyo siku nilifurahi mnooo...kesho yake tukafanya interview tulikua 27!!mkuu wetu akasema tumepitaa ila tuandike tena namba zetu ili tusimpe shida ya kutupigia!!aisee ile siku nikasemaa kweli nina zariii ahhah wote tukaandika namba zetu tukampaa tulikua 27!!hapo hapo nasisi tukaunda grupu la watsap..ili tuwe tuna fahamiana zaidi?!!uwezi amini..siku ya kuitwa kwenye semina .hakuna ata mtu wetu mmoja aliye itwaa??kumuliza jamaa akasema nyie tulieni..jimbo letu badoo kuitwa haha eti wanaitwa kwa awamu majimbo??basi tukasubiriiii semina ikapitaaa??kufika kwenye kazi yonyewe ya uwandikishwaji napo holaaa hakuna hata mmoja aliyeitwaa aiseee hahah!!?si nikaenda kujiandikishaa yani sura nilizo zionaa ni mpyaaa kabisaaaa!!?nikasema sifanyi tenaa huu upuuziii wa mambo ya ajira za kata na serikali za mtaaa aisee
Ndugu yangu nimejionea mwenyewe ayo mambo juzi juzi nilikuwa zangu kitaa fulani nilikuwa nawaona watu wanavyoangaika kuomba kazi aisee nilichokiona inasikitisha sana kumbe pale serikal za mtaa walikuwa wanaandika majina yao alafu wanapeleka huko inamana kama hujulikani huwezi toboa so aya mambo ya kujuana kuisha ngumu
 
Hahahaha Yule Bwana alisema tuishi kama mshetani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na hii ndo khali khalisi tunaishi kama tuko jehannam[emoji23][emoji23][emoji23]
Tumkate na Sisi kwenye sanduku la kura ajaribu na yeye kuishi kama shetani!
 
Ndugu yangu nimejionea mwenyewe ayo mambo juzi juzi nilikuwa zangu kitaa fulani nilikuwa nawaona watu wanavyoangaika kuomba kazi aisee nilichokiona inasikitisha sana kumbe pale serikal za mtaa walikuwa wanaandika majina yao alafu wanapeleka huko inamana kama hujulikani huwezi toboa so aya mambo ya kujuana kuisha ngumu
Aisee naona hapa kameseji kametumwa ..namba ngeni!!!kina sema habari unatakiwa kufika kesho saa mbili kwa mkapa kwenye interview!!!yan daaa sijui niendee yan hata sielewii...uyu alienitumia meseji ni nani!!!maana sikua na mpango tena
 
Nilimsindikiza dada angu ktk interview yao nikajua na maswali watakayo muuliza nikampanga akajibu apate nae awe na storia ya kusimamia uchaguzi
 
Back
Top Bottom