Kuitwa kwenye usaili jimbo la Kigamboni na Ubungo-NEC

Hiyo unakuja kupangiwa siku ya mwisho kabisa yaani tarehe 27 usiku ndo utaambiwa position yako! Unaweza kuomba usimamizi wa kituo ukapewa ukarani.
upewe taarifa trh27, trh28 utaenda kufanya nini ikiwa hujaijua shughuli unayoenda kufanya!! Lazima kutakua na semina elekezi.
 
upewe taarifa trh27, trh28 utaenda kufanya nini ikiwa hujaijua shughuli unayoenda kufanya!! Lazima kutakua na semina elekezi.
Soma vizuri utaelewa... Nimeandika position yako utapangiwa tarehe 27 usiku! Haihusiani na semina!! Semina itafanyika tarehe 25 na 26 mtakuwa wote mliopata nafasi mtapewa Semina ya jumla!!
 
Hongera, kamanda mjini bila conection unaweza usiambulie kitu
 
Daaaaaa.....wale tuliokosa nafasi za nec tufamiane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…