Pole mkuu..usikate tamaa endelea kutupia iko siku..Senki yuu Sashel kwa taarifa. Ila mwenzenu ndo nimetoswa hivo nafasi zote nilizoomba (NBAA na Wizara ya Kilimo) though G.P.A kaliiiiiiiii. Hawa jamaa sijui huwa wanatumia vigezo gani kushort list.
Any way maisha yanaendeleaaaaaaaaaaa
Senki yuu Sashel kwa taarifa. Ila mwenzenu ndo nimetoswa hivo nafasi zote nilizoomba (NBAA na Wizara ya Kilimo) though G.P.A kaliiiiiiiii. Hawa jamaa sijui huwa wanatumia vigezo gani kushort list.
Any way maisha yanaendeleaaaaaaaaaaa
dah,,so transkipt hawataki sio??ANGALIZO:
huko ni vyeti halisi vitatu tu.
1: Cheti cha form iv
2: cheti cha form vi
3: cheti cha chuo
4: cheti cha kuzaliwa.
na kama una master basi beba na hicho.
Kama huna hivyo ndg yangu ni bora ukae hukohuko Kigoma, Mbeya, Mara na Kwingineko. Utapotez rasilimali zako ikiwa nguvu, pesa nk.
Wadau walioomba kazi mbalimbali kupitia Tume ya ajira shortlist ndio hii. Usaili mwemaView attachment 53752