Kuitwa kwenye usaili-tume ya ajira

Kuitwa kwenye usaili-tume ya ajira

Duh kuna jamaa angu kaitwa ktk nafasi tatu tofauti 2 tarehe 16 na 1 tarehe 17 sijui atajigawaje...yaani kama mimi nacheza beki..kiungo na winga kwa wakati huohuo...yasije yakawa ya sherehe 2-3 zilimshinda fisi
 
Senki yuu Sashel kwa taarifa. Ila mwenzenu ndo nimetoswa hivo nafasi zote nilizoomba (NBAA na Wizara ya Kilimo) though G.P.A kaliiiiiiiii. Hawa jamaa sijui huwa wanatumia vigezo gani kushort list.

Any way maisha yanaendeleaaaaaaaaaaa
 
Pole mkuu..usikate tamaa endelea kutupia iko siku..
 
Senki yuu Sashel kwa taarifa. Ila mwenzenu ndo nimetoswa hivo nafasi zote nilizoomba (NBAA na Wizara ya Kilimo) though G.P.A kaliiiiiiiii. Hawa jamaa sijui huwa wanatumia vigezo gani kushort list.

Any way maisha yanaendeleaaaaaaaaaaa

Binafsi nasikitika sana, kuna mambo mengi hapa Tanzania yanayokatisha vijana Tamaa
Mfano Vijana waliomaliza Uclas ukiwa under UDSM then wakaamia ARDHI University mpaka leo kesi yao iko mahakamani na kwa hivyo hawapewi vyeti vyao, na kama unacheti Chako cha undergraduate tangu miaka ya 2007, ukiomba kazi na transcript inakuwa kama unaregarega fulani hivi... na hata akisoma masters Pia wanakuambia submit undergraduate certificate ndio upate cheti cha Master.

Sasa haya ni maelezo amayo huwezi kuyatanguliza kwenye kuomba ajira.
Unatia sana hasira
 
plz nipo village nimeulizia nimeambiwa hilo gazet halifiki sana plz niwekeeni maana niliapply
 
mi nasikitika kuona vijana wengi wanaachwa, yaanashindwa kupewa nafasi kuitwa kwenye usaili ktk nafasi walizoomba specifically kulingana na elimu zao, aisee inaumaa haloo; sijui hawa waliohitimu course inayoitwa Industrial Relations(Bachelor na Advanced Diploma) watapata wapi kama si Wizara ya Kazi na Ajira ukizingatia Sekretarieti ya Ajira imewachinjia mbali.
 
Daah!
One of the greatest abilities God has given each one of us is our ability to believe.
Believe today that God has an incredible plan for your life.
Let us have the Courage of going ahead!
 
plz nipo village nimeulizia nimeambiwa hilo gazet halifiki sana plz niwekeeni maana niliapply

Pole sana, ina page 33-pdf. fanya mpango kama una rafiki zako huku mjini wakuangalizie
 
ANGALIZO:

huko ni vyeti halisi vitatu tu.
1: Cheti cha form iv
2: cheti cha form vi
3: cheti cha chuo
4: cheti cha kuzaliwa.
na kama una master basi beba na hicho.

Kama huna hivyo ndg yangu ni bora ukae hukohuko Kigoma, Mbeya, Mara na Kwingineko. Utapotez rasilimali zako ikiwa nguvu, pesa nk.
 
dah,,so transkipt hawataki sio??
Sasa wengne vyeti si had after 2years jaman..!
Dah sio fair kabisa
 
Na hiyo written interview huwa wanauliza maswali gani kwa wenye uzoefu wa hili jambo
 
makubwa kumbe kuna kufanya writen interview!!!
Vijana hawa wanambo!!
Siku moja nimewaoma walikuja kwetu kuongea na mkurugenzi wa assess watu wangapi wanaitajika..ni vijana wenzetu naamini wanachapa sana kazi... na hawana upendeleo...
Japo kwa maswala kama kuwa na trancript pekee inabidi wawe nalo makini maana vyuo vyeti haviko kuitendaji zaidi wanachukua mda mrefu sana kutoa vyeti..
Haswa Ardhi siku zote nawalaumu sidhani kama mnazngatia maendeleo ya wanafunzi wenu..watu wako mtaani tangu 2007 hawana vyeti kwa sababu za kijipuuzi
 
Back
Top Bottom