Sashel
JF-Expert Member
- Mar 6, 2012
- 212
- 84
Wadau walioomba kazi mbalimbali kupitia Tume ya ajira shortlist ndio hii. Usaili mwemaView attachment TANGAZO LA USAILI -14- 18 Mei 2012.pdf
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole mkuu..usikate tamaa endelea kutupia iko siku..Senki yuu Sashel kwa taarifa. Ila mwenzenu ndo nimetoswa hivo nafasi zote nilizoomba (NBAA na Wizara ya Kilimo) though G.P.A kaliiiiiiiii. Hawa jamaa sijui huwa wanatumia vigezo gani kushort list.
Any way maisha yanaendeleaaaaaaaaaaa
Senki yuu Sashel kwa taarifa. Ila mwenzenu ndo nimetoswa hivo nafasi zote nilizoomba (NBAA na Wizara ya Kilimo) though G.P.A kaliiiiiiiii. Hawa jamaa sijui huwa wanatumia vigezo gani kushort list.
Any way maisha yanaendeleaaaaaaaaaaa
dah,,so transkipt hawataki sio??ANGALIZO:
huko ni vyeti halisi vitatu tu.
1: Cheti cha form iv
2: cheti cha form vi
3: cheti cha chuo
4: cheti cha kuzaliwa.
na kama una master basi beba na hicho.
Kama huna hivyo ndg yangu ni bora ukae hukohuko Kigoma, Mbeya, Mara na Kwingineko. Utapotez rasilimali zako ikiwa nguvu, pesa nk.
Wadau walioomba kazi mbalimbali kupitia Tume ya ajira shortlist ndio hii. Usaili mwemaView attachment 53752