Kuitwa kwenye usaili utumishi, mwajiri TSN

Kuitwa kwenye usaili utumishi, mwajiri TSN

Mkuu,wewe si ni mwajiri? Sasa huko utumishi unatafuta nini tena?kwenye ule uzi wa kampuni ya kichina isiyotoa risiti ulikua unajimwambafai nini sasa?
Ni mjasiriamali nina vigoli kadhaa....lakin bado ajira za serikali nataka,si wajua lazma ukabe kote kote mana biashara sasa hivi imekua ngumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom