Kuitwa kwenye usaili utumishi, mwajiri TSN

Kuitwa kwenye usaili utumishi, mwajiri TSN

Ya katibu na pia ukiingia kwenye account yako kuna sehemu ya feedback napo nikawaandikia maelezo yangu,nlivyoona simu hawapokei.
Apart from maelezo yako ya KUTOKUITWA na taarifa zipi uliwatumia ili wakusearch ni kusolve tatizo lako..?
 
Waziri wa utumishi kwa hiyo alidanganya Bunge?, alisema saili zote zitakazoanza mwezi wa Saba zitafanyika ki mkoa au kikanda? Nini tena hii ya kuita vijana Dodoma?.
Tunaongea tu utekelezaji sifuri.
Wanazngua waweke centres za interview kila kanda au mbona kila kanda zina vyuo vikuu ambavyo vinatosha kufanyia interview,
 
Back
Top Bottom