Kuitwa kwenye usaili utumishi, mwajiri TSN

Kuitwa kwenye usaili utumishi, mwajiri TSN

Mwezi uliopita nimeapply nafasi 4taasisi tofauti, kila siku nachungulia profile ila naona tu Received ingawa bado usaili kwa ujumla haujatangazwa kwa nafasi zote nilizoomba.

Hapa napata mawili matatu kulingana na mnayoyasema
Tuko wote kwenye behewa la wanaosubiri usaili. Nimeshakula nauli niliyoandaa. Wakiendelea kuchelewa nauza hivi vyeti.
 
Waziri wa utumishi kwa hiyo alidanganya Bunge?, alisema saili zote zitakazoanza mwezi wa Saba zitafanyika ki mkoa au kikanda? Nini tena hii ya kuita vijana Dodoma?.
Tunaongea tu utekelezaji sifuri.
Yule ni mwanasiasa kama wanasiasa wengine bt ngoja tusubirie bajet mpya
 
Ukifaulu according to utumishi mnawekwa kwnye data base so nafasi zikitokea mnachukuliwa uko kwenye kanzidata,kingine ata mkiitwa elfu 10 anahitajika mmoja kma mtu una nauli bora uende tu mengine yatajulikana uko uko,you never know hyo nafasi n yako au nn kitakuja kutokea
Hii Ndo principal kwenye maisha mambo ya kukata tamaa syo poa huwezi bnafs lazima niende japo tukiwa weng labda kuwe na changamoto za nauli
 
Naona wameongeza majina huko🤣🤣🤣
Sijui kweli watawahi maana Usaili ni kesho Asubuhi, Just imagine mtu Yuko kwao Tabora saa hii..
Au Huwa wanaweka namba kwenye account husika Mapema kwa haya majina ya nyongeza..? ety wazoefu tupeni ujuzi hapa maana naona kama ni Masikhara haya😁
 
Attachments

Noma. Ila in most cases wanakua wanajua hao.

Ukilalamika kwamba haujaitwa kwenye interview na vigezo vyote unavyo, wana crosscheck, then wakiona uko clear wanakuambia uende kwenye interview then wao baadae wanatangaza majina.
Unaweza kukuta hao wanajua tangu juzi kwamba wanatakiwa kuhudhuria usaili
 
Hapo sawa
 
Wale mliofanya interview ya accounts officer ii tuwekeeni maswali ya written mliyoulizwa.
 
Back
Top Bottom