Kuitwa kwenye usaili utumishi, mwajiri TSN

Kuitwa kwenye usaili utumishi, mwajiri TSN

Sijui kwanini wamechukua wachache hivyo kwa ajili ya oral....

Mimi nakumbuka kipindi fulani, nafasi zilikua mbili, ila walichukua watu 28 kwa ajili ya oral.

Au hawataki kujichosha kuhoji watu wengi ?
 
Hii c kazi ya mkataba wa mwaka mmoja.? Sidhani kama kazi hizi hua kuna kuwekwa kwenye kanzidata
 
Nisaidie la 1&4.
Swali la nne lipo google, swal la kwanza jamaa huyo kaliandika vibaya. Swali lilitaka ku"explain business transactions that need special treatment in the bank column of cash book" Nalo silijui [emoji23][emoji23] sijui ndo zile bank charges na mengineyo ama ni nini
 

Attachments

  • Screenshot_20220720-160344.jpg
    Screenshot_20220720-160344.jpg
    23.3 KB · Views: 25
Back
Top Bottom