Kuitwa kwenye usaili utumishi, mwajiri TSN

Kuitwa kwenye usaili utumishi, mwajiri TSN

Pambana kusoma sio kusubiri tu😀😀unaenda kushindana na watu 20,000 Burnaboy aliojaza arena NYC
Kila siku nikitaka kusoma napata uvivu hahahaha naingia jamii forum Uzi wa sensa dah aiseee 😂😂
 
Bado ipo received

Sent using Jamii Forums mobile app
CBF22FD2-70E0-4760-A509-D312DF89AA17.png

Mimi tangu mwaka huo hadi leo iko RECEIVED
 
Mkuu,mwaka huu nimedhamiria kuwa mtumishi wa umma nikapumzishe kichwa changu huko.number naona bado hawajatoa
Biashara ndio inayoleta utajiri lakini mkuu, mi navyojua kazi ni utumwa tu 😂😂😂
 
Najionea mazing zong tu,na hivi me mgeni wa haya mambo chaaa...

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwezi uliopita nimeapply nafasi 4taasisi tofauti, kila siku nachungulia profile ila naona tu Received ingawa bado usaili kwa ujumla haujatangazwa kwa nafasi zote nilizoomba.

Hapa napata mawili matatu kulingana na mnayoyasema
 
Back
Top Bottom