Kuitwa kwenye usaili utumishi, mwajiri TSN

Waziri wa utumishi kwa hiyo alidanganya Bunge?, alisema saili zote zitakazoanza mwezi wa Saba zitafanyika ki mkoa au kikanda? Nini tena hii ya kuita vijana Dodoma?.
Tunaongea tu utekelezaji sifuri.
Hilo litachukua muda kutekeleza
 
Oyaa mwanangu shombeshombe eti nafasi ni mbili wanagombea watu mia nane

Daah
Ukifaulu according to utumishi mnawekwa kwnye data base so nafasi zikitokea mnachukuliwa uko kwenye kanzidata,kingine ata mkiitwa elfu 10 anahitajika mmoja kma mtu una nauli bora uende tu mengine yatajulikana uko uko,you never know hyo nafasi n yako au nn kitakuja kutokea
 
Uliwacheck kwa Email..?
 
Hii kitu sio rahisi kama mnavyofikiria

Wengi mmekariri hivyo

Mpka pawe na uhitaji reserve wanahitajika na hamuwekwi wote
 
Back
Top Bottom