kwetumasoko
JF-Expert Member
- Aug 24, 2016
- 866
- 518
Kuitwa mke au mrs fulani ni heshima kubwa na iliyotukuka sana kwa mwanamke.
Kuna wanawake wengine wanadirika hata kusema kuwa hata kama bwana hachangii chochote katika malezi ya familia nyumbani lakini linapokuja suala la kuitwa mke wa fulani ni heshima kubwa sana kwa mwanamke hasa katika jamii inayomzunguka.
Je, kuna ukweli wowote katika hili au ni bora kubaki kuwa single mother.