kwetumasoko
JF-Expert Member
- Aug 24, 2016
- 866
- 518
Tatizo upo jukwaa ambalo sio sahihi la hicho unachokitafutaJamani nyuzi za maana za kutufanya tujikwamuwe kutoka kwenye umasikini ziko wapi? Naona siku hizi ni ngono kwenda juu!
Mkuu, ndio maana nikaleta kwenye Jukwaa la Mahusiano, Mapenzi na Urafiki kama ingekuwa hoja ya tujikwamue vipi ungeikuta kule kwenye Biashara, Uchumi na UjasiriamaliJamani nyuzi za maana za kutufanya tujikwamuwe kutoka kwenye umasikini ziko wapi? Naona siku hizi ni ngono kwenda juu!
Wapi ametaja ngono?Jamani nyuzi za maana za kutufanya tujikwamuwe kutoka kwenye umasikini ziko wapi? Naona siku hizi ni ngono kwenda juu!
Naona hajapitia vizuri
Jina peke yake linajitosheleza ukiligawanya na kulitafsiri MWANA (mtoto) MKE (ni alieolewa ) sasa kila mwanamke ile mwana ya kwanza anataka itole ili akue na kua ni MKE halkadhali kwa MWANAMUME.Kuitwa mke au mrs fulani ni heshima kubwa na iliyotukuka sana kwa mwanamke.
Kuna wanawake wengine wanadirika hata kusema kuwa hata kama bwana hachangii chochote katika malezi ya familia nyumbani lakini linapokuja suala la kuitwa mke wa fulani ni heshima kubwa sana kwa mwanamke hasa katika jamii inayomzunguka.
Je, kuna ukweli wowote katika hili au ni bora kubaki kuwa single mother.
wewe ntu nke au ntu mume tuanzie hapo kwanzaKuitwa mke au mrs fulani ni heshima kubwa na iliyotukuka sana kwa mwanamke.
Kuna wanawake wengine wanadirika hata kusema kuwa hata kama bwana hachangii chochote katika malezi ya familia nyumbani lakini linapokuja suala la kuitwa mke wa fulani ni heshima kubwa sana kwa mwanamke hasa katika jamii inayomzunguka.
Je, kuna ukweli wowote katika hili au ni bora kubaki kuwa single mother.
Mkuu, naomba tujadili mada kwani kunijua mimi kama ni Me au Ke hakutasaidia kitu chochote
Jamani nyuzi za maana za kutufanya tujikwamuwe kutoka kwenye umasikini ziko wapi? Naona siku hizi ni ngono kwenda juu!