Kuitwa mwizi na wananchi kuanza kushusha kipigo bila kuhoji ni kukosa ustaarabu jamii za Tanzania Bara, Wengi wamesingiziwa na kuuawa / kupata vilema

Kuitwa mwizi na wananchi kuanza kushusha kipigo bila kuhoji ni kukosa ustaarabu jamii za Tanzania Bara, Wengi wamesingiziwa na kuuawa / kupata vilema

Kinachonishangaza hata baadhi ya waislamu wanashiriki mauwaji ya mwizi, kwangu hao ni waislamu jina, wanautumia uislamu vibaya wakishirikiana na makafiri kuuwa mtu asie na hatia

Ndugu zangu waislamu tusomeni dini, tuache mambo ya ujanja ujanja mara oh mimi mtoto wa dar, mara oh mimi wa tandale huku ukifanya upumbavu na ujahili,

Narudia tena tusomeni dini, tuacheni usimba na uyanga na mambo mengine yasiyompendeza Allah, tutakuja kuulizwa.
 
Back
Top Bottom