kuizuia Katiba Inayopendekezwa isipite ni sawa na kuzuia Tsunami kwa kutumia mikono.

Dragunov Sniper

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Posts
2,795
Reaction score
9
Nawashangaa baadhi ya watu humu ndani wanapoteza muda wao mwingi kuikosoa katiba inayopendekezwa lakini cha ajabu kubisha kwao wala hakuna ushahidi wowote wanaouweka juu ya hoja zao wanazozitoa, na hii inaonyesha dhahiri kuwa watu wa namna hii wanapinga ilimradi waonekane wanajua kuongea ama wametumwa na baadhi ya wanasiasa wasioitakia mapenzi mema na hii nchi.

Kitu kingine watu hawa wamesahau kwamba Katiba hii sio mabishano ya vyama vya siasa, kwani itakuwa ni kwa faida ya watanzania wote vizazi hadi vizazi, ni vema unapobisha kitu uwe walau umekisoma na ukagundua mapungufu fulani kama yapo kisha ukauliza watu waweze kukusaidia kukufafanulia ili mwisho wa siku upate kuelewa na kumaliza unishi usio na maana yoyote humu JF.

Serikali yetu wala haijakurupuka kuuanzisha mchakato huu na Sheria zimetumika vema tangu kuanza kwa mchakato huu, sasa watu wao kazi yao ni kubisha tuuuu tena wengine wanapost picha zisizo na maana ambazo wanazikwapua toka Google, sasa mi naona huku ni kuishiwa hoja, kama katiba hii ni mbaya je hiyo ya kwenu iliyo nzuri iko wapiiiiiiii?

Ndo maana namalizia kwa kusema kuwa, kuendelea kuipinga Katiba Inayopendekezwa wajameni ni sawa sawa na KUZUIA TSUNAMI KWA KUTUMIA MIKONO, jambo ambalo mwisho wa siku tunajua kwamba hutofanikiwa ng'ooooooo.

Ndo maana maandiko matakatifu kama Biblia yanasema kuwa Hatimaye mwisho mwishowe wema utashinda tuuuu.

Ewe mtanzania kuwa mzalendo, mabishano yasiyo na maana kuhusu katiba hii hayakusaidii bali utakuwa unajipotezea muda wako kwa kitu ambacho unajua wazi wazi kuwa ni kizuri na kwa faida ya wote hata wewe unayeipinga.

"TO CRASH THE PROPOSED CONSTITUTION IS LIKE TO PLANT THE SEEDS OF YOUR OWN DESTRUCTION IN YOUR FUTURE" isome katiba hii na kuielewa kwa manufaa yako na vizazi vyako.

Nawasilisha!
 
Tunaendelea kuitafakari hoja yako,ila nachoweza kusema kuhusu jambo hili ni kwamba wananchi tuisome tuielewe,kama tunatumia muda mwingi kufuatilia mambo mengine basi na hili la katiba tulipe uzito,tusije kumlaumu mtu kwa uzembe wetu!tushiriki kikamilifu kulijenga taifa letu tusikubari kubebewa ajenda zetu na wasiolitakia mema taifa la Tanzania!
 
Nakuonea huruma sana.. Nadhani kabla ya kuuliza watu wanayoipinga wametumwa na nani ulitakiwa u-declare interest unayasema haya kwa niaba ya nani, ni nani aliyekutuma kuwasemea watanzania?

Pili, nadhani nyie visemeo vya watawala mmeshavimbiwa na shibe ya utawala, so mmejisahau na kujiona kila mnalolifanya hata kama si kwa msalahi mapana ya nchi, nyie kwenu ni halali na lazima lipigiwe debe mpaka lipite..

Na kuonyesha kwamba mmevimbiwa na shibe ya waliokutuma kwenye bandiko lako unasema eti

  • watu hawa wamesahau kwamba Katiba hii sio mabishano ya vyama vya siasa, kwani itakuwa ni kwa faida ya watanzania wote vizazi hadi vizazi

Sasa kama mnayajua hayo kwanini mliendelea kuijadili na kuichakachua Katiba ya Wananchi (Katiba ya Warioba) hata pale vyama vingine viliposusua na kutoka kwenye mjadala mkaendelea kwa kiburi na dharau na kutuletea Katiba ya NYOKA MWENYE MAKENGEZA????

Nikuombe kabla ya kutuletea yale Maboss wako wanayokutuma uje kusema, yafanyie kwanza tafakuri ya kina.. La sivyo unaonekana umevimbiwa sijui maharage ya wapi..!!

Jipange sana kuwashawishi Watanzania kwamba Katiba ya CHENGE ipo kwa maslahi ya wananchi..!!
 
Ndugu kawaulize UKAWA kwa nini walitoka bungeni?ina maana sisi wananchi tuliwatuma kukimbia mijadala ya bunge??? Je ni kweli Chenge ana Katiba?naomba na wewe utueleze hapa.
 
Kwanini mtoa post umeongelea upande mmoja wa wanaopinga badala ya kuwa neutral?

Nilidhani utasema ni maamuzi ya wananchi kukubali ama kukataa lakini inaonekana nawe unawaamuru watu kuiunga mkono tu hata kama hawakubaliani na kilichopo.

RAPTOR 22 na wenzako mmekuwa wapiga wazuri sana wakushawishi watu waiunge mkono hii katiba pendekezwa.

Tutapinga kama haiko sawa na tutaiunga mkono kama itatufaa na si kupitia malalamiko yako yasio na faida yeyote.
 
RAPTOR 22,, usiwe na tabia za kichawi za kuhamaki. Ukileta kamada kako kasikokuwa na tafakuri ya kutosha lazima tukachanechane kwa hoja.

Nadhani nimetumia elimu ya juu zaidi ukashindwa kuelewa. Ngoja nikusaidie kukuelewesha kwa level yako, naamini na wapiga zumari wenzako wataelewa pia.

Nimetumia Katiba ya Warioba Vs ya Chenge kwa sababu kuu mbili. Kwanza nikisadifu maudhui yaliyomo kwenye Katiba hizo pamoja na uhalali wake (Moral Authority). Pili, nimetumia majina ya hawa kwa sababu ndiyo viranja wakuu katika uandishi wake. Ni sawa na mtu kusema Serikali ya JK. Kimantiki JK hana Serikali, serikali ni ya Tanzania au watanzania. Naamini we Div.six RAPTOR 22 umeelewa... Nije kwenye mada.

Nimetembea juu ya bandiko lako kupinga unachotaka kutuaminisha.. Umesema kwamba..

  • ... Katiba hii sio mabishano ya vyama vya siasa, kwani itakuwa ni kwa faida ya watanzania wote vizazi hadi vizazi, ni vema unapobisha kitu uwe walau umekisoma na ukagundua mapungufu fulani kama yapo kisha ukauliza watu waweze kukusaidia kukufafanulia .....

    Serikali yetu wala haijakurupuka kuuanzisha mchakato huu na Sheria zimetumika vema tangu kuanza kwa mchakato huu, sasa watu wao kazi yao ni kubisha tuuuu tena ....

Hapo tunaviona vitu viwili vikubwa.

Kwanza, Katiba si mabishano ya Vyama vya Siasa. Kwa maana nyingine Katiba ni maridhiano ya vyama na makundi mbalimbali katika taifa. Sasa swali.. KATIBA unayoipigia debe inasifa ya kuitwa tunda la maridhiano...? Jibu lako liwe ni ku-compare na ku-contrast, Katiba ya (Chenge vs. Warioba).

Pili, Umesema Katiba ni mchakato. Kwa maana kwamba Katiba bora yoyote lazima ipitie mchakato halali, wazi na wa maridhiano. Kwa hatua ya kwanza na ya pili mchakato wake ulienda vizuri kwa maridhiano. Hakuna ubishi wala huhitaji uwe na digrii kutambua hili.. Lakini tunajua pia CCM iliingilia mchakato katika hatua ya tatu.

Swali, Kwa kuwa mchakato wake umevurugwa katikati, je tutawezaji kupata Katiba Bora isiyokuwa na maridhiano na kupitia mchakato uliovurugwa??

SASA NIKUOMBE UJE NA MAJIBU YA KIMANTIKI SIO MATUSI.. UKISHINDWA BEBA MASWALI HAYA WAPELEKEE MABWANA ZAKO WAKUSAIDIE KUJIBU!!
 
Vipo vipengele vingi sana vya msingi ambavyo vinanipa kibri kutokuunga mkono (kwasababu umenilazimisha nitoe msimamo wangu)...kwauchache tu
1:Ibara 25(1)(b) ni muhimu sana kwa mageuzi ya dunia yetu ya sasa....
2:Ibara 129, Umiliki wa akaunti za nje ya nchi na vijimambo vingine vingi ambavyo vilikuwa muhimu kwa mustakabari wa taifa na kuleta utawala bora na ustawi wa wananchi wake

Hvyo baadhi vimenishawishi kutounga mkono katiba ya Chenge.....nasema tena sitounga mkono katiba ya Chenge nyoka mwenye makengeza
 
Tatizo lako wewe umesoma kipande kimoja badala ya kuisoma ibara yote hiyo, kasome tena vipengele vyote utaelewa na kuelimika, na hiyo ibara ya 129 imefafanuliwa vema tena kwa maelezo ya ziada nakwambai kuwa Bunge litatunga sheria itayoeleza muda gami wa kufungua hizo akaunti na nani anapaswa kfungua na nani hapaswi kufungua, usisome kama kasuku jombaa, upo hapo?
 
Hahahahahaaaaa unanifanya nicheke kidogo na hapo najaribu kuvuta picha ni namna unakazana kuandika hilo jibu lako...kuwa mpole utaweza kupata akili...

Hiyo Ibara 129 nimezungumzia ibara ambayo ipo kwenye rasimu ya pili ya warioba ambayo imezungjmzia suala la Haki ya wapiga kura kumwajibisha mbunge wao na sio hyo iliyopo kwenye katiba pendekezwa ya Chenge a.k.a nyoka mwenye makengeza ambayo inazungumzia aina ya wabunge.

Halafu nashangaa kwanini kila unapotoa jibu lako lazima uanze na matusi hiyo inaniaminisha kuwa uwezo wako wa kufikiri unamapungufu kidogo jambo linalokupelekea kushindwa kuona mapungufu makubwa yaliyomo katika katiba hii pendekezwa.

Nasisitiza tena kwa mara nyingine sitoiunga katiba ambayo mchakato wake (Katika BMK) ulionekana kutekwa na kundi fulani badala ya kuzingatia sheria ya utengenezwaji wa katiba.
 
Huyo babu hana katiba usipelekwe kama upepo,afu ile rasimu sasa hv watu wanaifungia maandazi mtaani wtz hawaijui unaijua wewe na familia yako.View attachment 244577
 
Hahahahahaaaaa unanifanya nicheke kidogo na hapo najaribu kuvuta picha ni namna unakazana kuandika hilo jibu lako...kuwa mpole utaweza kupata akili...

Hiyo Ibara 129 nimezungumzia ibara ambayo ipo kwenye rasimu ya pili ya warioba ambayo imezungjmzia suala la Haki ya wapiga kura kumwajibisha mbunge wao na sio hyo iliyopo kwenye katiba pendekezwa ya Chenge a.k.a nyoka mwenye makengeza ambayo inazungumzia aina ya wabunge.

Halafu nashangaa kwanini kila unapotoa jibu lako lazima uanze na matusi hiyo inaniaminisha kuwa uwezo wako wa kufikiri unamapungufu kidogo jambo linalokupelekea kushindwa kuona mapungufu makubwa yaliyomo katika katiba hii pendekezwa.

Nasisitiza tena kwa mara nyingine sitoiunga katiba ambayo mchakato wake (Katika BMK) ulionekana kutekwa na kundi fulani badala ya kuzingatia sheria ya utengenezwaji wa katiba.
Ndo mana nakwambia wewe huna akili kichwani hapa hatuzungumzii Rasimu ya Warioba, hapa ni katiba inayopendekezwa wewe sungura.
 
Hahahahahaaaaa unanifanya nicheke kidogo na hapo najaribu kuvuta picha ni namna unakazana kuandika hilo jibu lako...kuwa mpole utaweza kupata akili...

Hiyo Ibara 129 nimezungumzia ibara ambayo ipo kwenye rasimu ya pili ya warioba ambayo imezungjmzia suala la Haki ya wapiga kura kumwajibisha mbunge wao na sio hyo iliyopo kwenye katiba pendekezwa ya Chenge a.k.a nyoka mwenye makengeza ambayo inazungumzia aina ya wabunge.

Halafu nashangaa kwanini kila unapotoa jibu lako lazima uanze na matusi hiyo inaniaminisha kuwa uwezo wako wa kufikiri unamapungufu kidogo jambo linalokupelekea kushindwa kuona mapungufu makubwa yaliyomo katika katiba hii pendekezwa.

Nasisitiza tena kwa mara nyingine sitoiunga katiba ambayo mchakato wake (Katika BMK) ulionekana kutekwa na kundi fulani badala ya kuzingatia sheria ya utengenezwaji wa katiba.

unacheka nini Limbwata la Chenge limekolea nini?ndio maana na wewe umeanza kumtaja jiangalie usipoteze muda wako katiba mpya haizuiliki wananchi tunaitaka.
 
Kwanza huwa sipendi namna unavyoweza kumshawishi mtu katika hoja zako maana inaonekana umelelewa vibaya kwenu sio tatizo la wazazi ila ni la kwako ulieshindwa kuyashika malezi yao.

Kuhusu upande wa jina wala sioni ajabu kwa namna ulivyotafasiri kilugha cha kwenu maana hata kwetu pia kuna maana tofauti kwahyo halinifanyi nitoke nje ya mada.

Nakushangaa kwanini unakuwa kichwa maji hvyo nakuwa mtu uliuekaririshwa misamiati ile ile maana kila komenti yako unayarudia yale yale.
Suala la msingi hapa ni namna hii katiba ilivyoyaacha mambo ya msingi ambayo yangesaidia kuleta uwazi na uwajibikaji kwa viongozi wetu katika shughuli zao za kila siku.

Pia ungekuwa mwiba kwa viongozi wapenda rushwa na wahujumu wa mali za umma tofauti na hii pendekezwa ambayo mambo mengi yamejaribu kukinga watumishi na kuweka mianya ya rushwa.

Kama umechaguliwa kuja kushawishi watu waunge mkono kwa malipo ya fulana na kofia basi wamefanya chaguo lililosahihi na wajaribu kukufanyia uchunguzi wa akili.

Watanzania wanajuantaifa lao linakwenda wapi na ndo maana hata haraka hawana nikiwa miongoni mwao hasa kwenye uchaguzi wa mambo muhimu kwa taifa ,hapa linasubiriwa tangazo la siku ya kupiga kura na kujiandikisha kwa maeneo yaliyobaki then tukachague mustakabali wataifa letu kwa kura kibao za ndiyo!
 
Kura ya ndiyo kwa katiba pedekezwa maana malengo ya watanzania tuliowengi ni kuwa na katiba!hatuwezi kuishi kwa kupiga ramli bila ya kuwa na katiba kisa kakundi kadogo na hakataki sidhan Kama watanzania waliowengi wanaweza kukubaliana na paukwa pakawa ya ati kuikataa katiba pendekezwa!waliowengi wanajitambua
 
Ndugu kawaulize UKAWA kwa nini walitoka bungeni?ina maana sisi wananchi tuliwatuma kukimbia mijadala ya bunge??? Je ni kweli Chenge ana Katiba?naomba na wewe utueleze hapa.

Ukawa walitoka nje ya bunge na waliobaki walitoka nje ya mada. Very logical!
 
Tatizo lako wewe umesoma kipande kimoja badala ya kuisoma ibara yote hiyo, kasome tena vipengele vyote utaelewa na kuelimika, na hiyo ibara ya 129 imefafanuliwa vema tena kwa maelezo ya ziada nakwambai kuwa Bunge litatunga sheria itayoeleza muda gami wa kufungua hizo akaunti na nani anapaswa kfungua na nani hapaswi kufungua, usisome kama kasuku jombaa, upo hapo?

I think ww ndo Kasuku jombaa
 
Nawashangaa baadhi ya watu humu ndani wanapoteza muda wao mwingi kuikosoa katiba inayopendekezwa lakini cha ajabu kubisha kwao wala hakuna ushahidi wowote wanaouweka juu ya hoja zao wanazozitoa, na hii inaonyesha dhahiri kuwa watu wa namna hii wanapinga ilimradi waonekane wanajua kuongea ama wametumwa na baadhi ya wanasiasa wasioitakia mapenzi mema na hii nchi.

Kitu kingine watu hawa wamesahau kwamba Katiba hii sio mabishano ya vyama vya siasa, kwani itakuwa ni kwa faida ya watanzania wote vizazi hadi vizazi, ni vema unapobisha kitu uwe walau umekisoma na ukagundua mapungufu fulani kama yapo kisha ukauliza watu waweze kukusaidia kukufafanulia ili mwisho wa siku upate kuelewa na kumaliza unishi usio na maana yoyote humu JF.

Serikali yetu wala haijakurupuka kuuanzisha mchakato huu na Sheria zimetumika vema tangu kuanza kwa mchakato huu, sasa watu wao kazi yao ni kubisha tuuuu tena wengine wanapost picha zisizo na maana ambazo wanazikwapua toka Google, sasa mi naona huku ni kuishiwa hoja, kama katiba hii ni mbaya je hiyo ya kwenu iliyo nzuri iko wapiiiiiiii?

Ndo maana namalizia kwa kusema kuwa, kuendelea kuipinga Katiba Inayopendekezwa wajameni ni sawa sawa na KUZUIA TSUNAMI KWA KUTUMIA MIKONO, jambo ambalo mwisho wa siku tunajua kwamba hutofanikiwa ng'ooooooo.

Ndo maana maandiko matakatifu kama Biblia yanasema kuwa Hatimaye mwisho mwishowe wema utashinda tuuuu.

Ewe mtanzania kuwa mzalendo, mabishano yasiyo na maana kuhusu katiba hii hayakusaidii bali utakuwa unajipotezea muda wako kwa kitu ambacho unajua wazi wazi kuwa ni kizuri na kwa faida ya wote hata wewe unayeipinga.

"TO CRASH THE PROPOSED CONSTITUTION IS LIKE TO PLANT THE SEEDS OF YOUR OWN DESTRUCTION IN YOUR FUTURE" isome katiba hii na kuielewa kwa manufaa yako na vizazi vyako.

Nawasilisha!

Haya uliyoyaandika ni matunda ya 'Big Results Now (BRN)', ambayo bila kuboresha maslahi ya walimu, ni 'Big Problems Now (BPN)'. Mfumo wetu wa elimu ungekuwa mzuri tungepata watu ambao ni 'critical/intelligent thinkers'. Kwa bahati mbya, wengi siyo. Hivyo, hata namna yao ya ku'reason' ni below standard. This is what I made out after reading these phrases.
 
na ukichunguza ni kikundi fulani kimejiunga JF hapa juzi March 15 2015, kweli hatuwezi kuamini kuwa katiba inayopendekezwa itakua nzuri kama Watetezi wake wanaishia kutukana tu

WE NABII WA UONGO HAUNIPOTEZEI MUDA,CIPI UMESHAACHA KUITABIRIA MABAYA TANZANIA AU NDO mungu WAKO AMELALA UNAMWAMSHA??
 
Back
Top Bottom